#COVID19 Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha...

Chanjo Ni Hiari. Sema. Sijaelewa. Aina gani ya chanjo wanatoa huko Tz kwetu. Na ngapi. Mana huku unachagua aina na Pia inakuwa Mara Mbili. Ya kwanza na ya pili. Je hiyo ya huko Ni Special, that man let himself or herself to be vaccinated.
 
Mh.Askofu Gwajima afukuzwe CCM......

Vijana wa CCM hatuwataki watu wapotoshaji aina ya Gwajima ndani ya chama hiki cha kijamaa...
Walitakiwa wawe wamemfukuza JPM maana ndo alikuwa wa Kwanza kutuambia chanjo Zina madhara.

Nyie wanafiki hamtumii akili hata kidogo,umesoma consent form wewe?
 
U

Walitakiwa wawe wamemfukuza JPM maana ndo alikuwa wa Kwanza kutuambia chanjo Zina madhara.

Nyie wanafiki hamtumii akili hata kidogo,umesoma consent form wewe?
Consent form ina maajabu gani uliyoyaona?!!!

Mgonjwa anapopelekwa CHUMBA CHA UPASUAJI pia Kuna consent form HUSAINI....akiwa mahututi wanasaini NDUGU ZAKE ,je hilo nalo halikushangazi?!!

#TujitokezeniKuchanjwa
 
Us
Consent form ina maajabu gani uliyoyaona?!!!

Mgonjwa anapopelekwa CHUMBA CHA UPASUAJI pia Kuna consent form HUSAINI....akiwa mahututi wanasaini NDUGU ZAKE ,je hilo nalo halikushangazi?!!

#TujitokezeniKuchanjw
Usichoelewa Nini kuhusu ndugu kusaini, au mgonjwa Ana weka sahihi kwa ajili ya Nini?
 
Time will tell kuipata chanjo baadae utahitaji connection ndo hapo wapinga chanjo watakapo lia
 
Us

Usichoelewa Nini kuhusu ndugu kusaini, au mgonjwa Ana week sahihi kwa ajili ya Nini?
Hujanijibu kuhusu hiyo consent form ya chanjo....

Mimi nimekuuliza CONSENT FORM ya chanjo ambayo umenihoji kuwa Kama nimeisoma...nikakuuliza tofauti yake na CONSENT FORM kabla ya upasuaji....
 
Restriction zimeregezwa sio kama mwanzo mkuu.
Ok...

Muhimu tupige chanjo, tuchukue tahadhari tu na maisha yaendelee.

Nchi Kama ya Tanzania, chanjo ni bora kupata kila mtu kwani maisha yetu ya "kusebenza" watu watavaa barakoa kwenye MIKUSANYIKO tu ya wengi na usafiri wa umma bali wale wa uswazi wanaokaa nyumba za kupanga kaya 15-20 ndani yake, wanashea KUMBI(corridor) wanashea vibaraza na majiko uani...Hawa Ni Bora tu wale CHANJO na mambo mengine yaendelee.
 
Kujiheshimu ni kitu kidogo sana Wala hakihusiani na umri unaweza kuwa mkubwa kumbe nanga tu
Sawasawa....👍

Mbunge Gwajima ajiheshimu....kwani yeye ni mkubwa kiumri ,kiongozi wa DINI na MBUNGE....
 
Back
Top Bottom