Hili ndio jibu sahihi. Mtangulizi apewe heshima yake na mkamilishaji pia. Nadhani Hilo waliweke sawa huko mbeleni.
Kabisa. Shida yetu kila kiongozi hataki kuona kazi za wengine waliotangulia. Ndio maana hatuna maendeleo ya maana. Kama tunachukua mambo kirahisi au kwa chuki, kuna maana gani kwa Taifa endelevu? Kila ajaye ataleta yake yasiyokuwa na mwendelezo yeye akitoka
 
Tofautisha kuogopwa na kudharauliwa Wangekuwa wanamuogopa wangemtaja hata kidogo , Sasa kwa sababu wanamdharau wamechukulia poa. Hadi chawa mrisho mpoto kamsahau mwendazake unadhani mchezo.
Tumia akili wanamwogopa
 
Hivi bavicha mmeishiwa hoja kiasi hiki??? 2025 mna kazi ya ziada maana mnashindana bado na jpm...
 
Tumia akili wanamwogopa

Wewe ndio utumie akili. Watu wakuogope halafu waminye kukupa heshima yako?. Yani wakatae kukupa unachostahili?. Hapo wamemdharau makubwa maana waliona Kama hastahili kutajwa hata kidogo.
 
Na bado,ntawewetheka thana nyie THUKUMAGANG.

Thithemi Mimi,ila MDA ndo unathema.
Endeleeni kubweka,sie tupo paleeeeeeeee.
Tunatetha kwa thamu.
 
Membe hajawahi kuwa Rais. Alikufa raia wa kawaida Sana.

Alikuwa KACHERO MBOBEZI. [emoji16]

Tena nasikia alikuwa ndani ya lile genge la akina CHEKIBOBU KIKWETE ambalo linasemekana kuwa na MAGUVU [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…