Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni kweli ila Magu naye alizidiMkuu, african politics ni za kijinga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli ila Magu naye alizidiMkuu, african politics ni za kijinga sana.
Kweli kabisaMh Samia Suluhu alizaliwa na utu na kajawa na busara sana.
Huyu mama Mungu ambariki sana aiseeTofauti na like shetani la kihutu
Picha ya tukioIko wap sasa ...nyie chawa nyie...unatuwekea mboyoyo bila foto..
Giza halina uwezo kuzima mwanga ila mwanga una uwezo kuondosha giza. Hilo ndio jibu rahisi tu kuelewa nini maana yake.
Mtu mwaminifu hashuku kusingiziwa uharifu ila mhalifu (mwizi) wazo lake la haraka ni kuhisi anazibiwa fursa ya kupata isivyo halali hivyo huhisi mtu fulani akimtaja atamharibia hivyo anaamua kuacha kumtaja ili mipango yake isitibuliwe; ndicho kilichotokea pale kwenye kusanyiko la walamba asalai Ikulu isiyokuwa yao.
Mmehamia kwa Nyerere. Mkishindwa mnahamia kwa Nyerere, punguzeni unafiki.Hii inaonesha kuwa,hata historia ya nchi yetu kuhusu nyerere aiipambania huenda ikawa ni ya uongo.
Wanasiasa wa ngazi za juu Africa ni untouchable. Wapo juu ya sheria, wanapuuza katiba. Only South Africa ndipo hata rais mstaafu anaweza fungwa kwa makosa yake.Ni kweli ila Magu naye alizidi
Samia na genge lake, walikwepa Uzinduzi wa Meli pale Mwanza
Yaan na Bado na badoo, hiii yote inaonyesha wanapambana na Marehem.
Na badooo maana SGR hiyo, Busis Iloo, JNHPP hiyooo ,
Badoooooo
HakikaKweli kabisa
Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana
View attachment 2628625
Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !
Hii maana yake nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ata shujaa Membe hajakumbukwa walau kwa dakika moja!
Ni kweli. Mama anapambana sana kuona hii miradi inakamilika. Ila kutoona kazi ya mtangulizi wake nayo pia ni dhihaka.Naomba kuuliza hivi SGR ikikamilika 2030 au mradi wa JNHPP au daraja la busisi likiisha , Nani atakuwa amekamilisha? Magufuli au Samiah. Tumtendee haki Mama wa watu. Aliyeanzisha na kukamilisha wapewe pongezi.
Hilo daraja la busisi linajengwa usiku kucha , halfu liishe tuseme mama hakushiriki it will not be fair. Tuache fanatism kwenye ukweli.
Nani alibadili jina uwanja wa mpira wa na kuita jina la Mkapa
Tukikaribia 2025 utaanza kutambua na kufahamu marehemu aliko.
Kwa sasa Bado ni mapema kidogo.
Hata juzi marehemu alihamia kariakoo!!!
Mzima leo ni marehemu kesho umesahau mkuu?Alikuwepo hai akawa analima risasi viongozi wetu wa CHADEMA kwa uoga wa kupingwa challenge, Sasa Leo akiwa Marehemu analipi jipya. Aje aendeleze wizi wa kura na kujaza vilaza bungeni?.
Wanamwogopa marehemu wapumbavu sana hao
Pia wamejaa uchungu wa yule mzoga wao wa majuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli. Mama anapambana sana kuona hii miradi inakamilika. Ila kutoona kazi ya mtangulizi wake nayo pia ni dhihaka.
Kuna awamu nyingine watu walikuwa busy kulamba asali. Maendeleo kidogo tu. Tusisahau hilo pia. Watanzania wa leo sio wa juzi
Nothing is the number when you dieHaya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana
View attachment 2628625
Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !
Hii maana yake nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app