Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma
Wanamtaka Marehemu wamfanyeje?. Marehemu yupo chato waende kule kumsabahi.
Tukikaribia 2025 utaanza kutambua na kufahamu marehemu aliko.
Kwa sasa Bado ni mapema kidogo.

Hata juzi marehemu alihamia kariakoo!!!
 
Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana

View attachment 2628625

Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !

Hii maana yake nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wanamwogopa marehemu wapumbavu sana hao
Pia wamejaa uchungu wa yule mzoga wao wa majuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila msilolijua kifo cha Yule bhana kimeligawa Taifa 3/4 .

Na kuna mama mmoja anaweka picha na mabangokila kona ya nchi watu hawayataki wanamtaka marehemu.
Hapo ndio utachoka kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana

View attachment 2628625

Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !

Hii maana yake nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Alitangulia kutaja vile vitu ambavyo wengi tulikuwa hatuvijui.Sasa kuanza na kumtaja magufuli wakati kila mtu anajua mchango wake kwenye ujenzi wa Ikulu ya chamwino ingesaidia nini.
 
Kabla ya kifo cha JPM walikuwa wanasema aliko JPM nasi tupo.

Muda mfupi baadaye wanasema aliko mama na sisi tupo.

Kweshokutwa tukiweka Mbuzi hapo watasema aliko Mbuzi na sisi tuko.

Jiulizeni Hawa watu ni wa namna gani? Wanaishije? Wanalipwaje? Wana uchunguzi na nani? Wana Matarajio gani kimaisha? Wanasali dini gani ? Malengo yao ni Yapi? Wakiiba fedha wanapeleka wapi?

Propagandists hao wanakusanyika popote penye sega la asali.

Hata asali ikidondokea kwenye mavi watahamia hapo kuipigia chapuo.
 
Msaidizi wake alikuwa Samia!

Na sasa Samia anakamilisha kazi!

Naona mnataka fito zote za ujenzi wa nyumba yetu apewe mtu mmoja, alikuwa na mikono mingapi?.

Samia anahangaika usiku na mchana kuzunguuka duniani kutafuta fedha kukamilisha miradi halafu wewe unakuja kusema ni ya Jiwe peke yake?, Mbona hakuimalizia sasa?

Hivi daraja la busisi likiisha Nani atakuwa amelijenga. Maana mama anahangaika nalo usiku na mchana, lakini likiisha wataanza kusema hakufanya lolote. Ubaguzi wa kijinga ndio umetufikisha hapa zamani hatukuwa na mambo Kama haya ya kugombania uzinduzi wa majengo.
 
Msaidizi wake alikuwa Samia!

Na sasa Samia anakamilisha kazi!

Naona mnataka fito zote za ujenzi wa nyumba yetu apewe mtu mmoja, alikuwa na mikono mingapi?.

Samia anahangaika usiku na mchana kuzunguuka duniani kutafuta fedha kukamilisha miradi halafu wewe unakuja kusema ni ya Jiwe peke yake?, Mbona hakuimalizia sasa?
Sasa umekuwa Mr wake au!!!
 
Dar es Salaam. Historia mpya imeandikwa. Ikulu mpya ya Chamwino, Dodoma sasa imezinduliwa rasmi kama ofisi na makazi rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Shughuli ya uzinduzi huo ilianza alfajiri kwa wageni mbalimbali kuanza kuwasili katika viwanja vya Ikulu mpya huku wageni mbalimbali kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.

Rais Samia aliwasili saa 4:15 asubuhi na kupokelewa na makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, Rais wa Zanzibar, Dk Hussein mwinyi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wastaafu akiwemo Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Kikwete.

RELATED
Chamwino Ikulu kuhamishiwa katika jiji la Dodoma
Kitaifa 2 hours ago
Bada ya kupokelewa, Rais Samia alikwenda katika jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kupokea heshima ya kijeshi. Baada ya heshima hiyo, Rais Samia alikagua gwaride lililoandaliwa maalumu kwa shughuli hiyo.

Rais Samia alikwenda kupanda mti wa kumbukumbu ulio mbele ya jengo la Ikulu ya Chamwino ambalo lilianza kujengwa mwaka 2020 na kukamilika miezi 30 baadaye.

Baada ya hatua hiyo, Rais Samia na viongozi wengine walisimama mbele ya jengo la Ikulu kushuhudia bendera zikipandishwa juu ya mnara wa jengo hilo huku baragumu likipigwa. Bendera tatu zilipandishwa ambazo ni bendera ya Rais, bendera ya Taifa na bendera ya Afrika Mashariki.

Rais Samia na makamu wake walielekea kwenye lango kuu la kuingia ndani ya Ikulu na kupiga ngoma zilizokuwa zimewekwa hapo ikiwa ni ishara ya ufunguzi huo. Baada ya hatua hiyo, Rais Samia aliingia ndani kukagua jengo lanyewe.

Viongozi walimaliza ukaguzi huo na kuelekea kwenye jukwaa kuu ambako walikuwa wakisubiriwa na wageni mbalimbali walioalikwa kushuhudia historia mpya ikiandikwa kwa Ikulu iliyojengwa na wazawa, Suma JKT pamoja na Wakala wa Ujenzi (TBA).
 
Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana

View attachment 2628625

Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !

Hii maana yake nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wacha wamfukie tu, mbona yeye alikuwa anajitapa kuwa ndiyo amefanya kila kitu kwa Tanzania. Na alikuwa anawaponda live akina Kikwete na Mkapa
 

Attachments

  • 9FB0993F-BC20-433C-9B4C-3B69A4327947.jpeg
    9FB0993F-BC20-433C-9B4C-3B69A4327947.jpeg
    273.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom