econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Acha wapambane wenyewe. Dhambi ya ubaguzi mbaya Sana. Walianza kwa kuibagua CHADEMA, leo wanabaguana wenyewe.Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana
View attachment 2628625
Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !
Hii maana yake nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app