Sifael Mpollo
Member
- Jan 20, 2018
- 24
- 34
- Thread starter
- #41
Tusonge mbele na kuijenga nchi yetu.Kazi nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusonge mbele na kuijenga nchi yetu.Kazi nzuri sana
Tanzania ni yetu soteTusonge mbele na kuijenga nchi yetu.
Bora hata wewe umemtaja, wenzako wanamruka kwenye tashipu nyingi ambazo alipaswa kutajwa hadi kule kwenye tukio.Pongezi nyingi kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kikamilifu ujenzi na hatimaye kukamilika na Leo Ikulu yetu inaanza kutumiwa Rasmi.
Pongezi nyingi kwa Hayati John Pombe Magufuli kwa jitihada kubwa alizo zifanya, Japo alibezwa lakini Leo hii yametimia.
r.i.p JPM
Noma sana, wakitoka hapo ni kukimbizana na wauza dagaa kutafuta mapato...Kodi za masikini zinateketezwa vibaya mno huko Chamwino, Dodoma kwenye hafla ya uzinduzi. Nipo nashuhudia hapa TBC1. Meza zimetaradadi vyupa vya mvinyo na vinywaji kedekede huku midomo ya wahudhuriaji ikiwa bize kuchakata korosho na bites mbalimbali.
Duki baya yani na ukizingua wanakupiga hata makofi mpaka uwape chao.Noma sana, wakitoka hapo ni kukimbizana na wauza dagaa kutafuta mapato...
Mama Janeth yupo na amepokea tuzo kwa niaba ya Hayati Magufuli.Mama Janeth Magufuli kaamua kujiweka mbali kabisa na hawa wanafki wa nchi. Mialiko yote anaikacha.
sio yeyeMama Janeth yupo na amepokea tuzo kwa niaba ya Hayati Magufuli.
Kwa taabu?Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana
View attachment 2628625
Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !
Hii maana yake nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Legasi imekuwa yakukokota sana🤣🤣Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana
View attachment 2628625
Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !
Hii maana yake nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wacha jua liwakeHaya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana
View attachment 2628625
Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !
Hii maana yake nini ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
MWacheni apumzikeHata Mrisho Mpoto Mnafiki sana nimemsikiliza kwenye hizo kelele zake anazopigaga Kila mara kawasifia Mwinyi Mkapa Na Kikwete sijui kwakuwa aliwaona wamekaa pale... huku Makufuli..kamsifia kidogo sana wakati jiwe alifanya maamuzi magumu mama kawaumbua Maana kamsifia ....Mrisho Mpoto Acha unafiki [emoji3166]
🤣🤣🤣waliokua wanamsifia Magufuli leo hii wanashindwa hata kutamka jina lake, CCM Oyeeee hahahahaah Bashiru yupo kweli?