SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Uthubutu mkubwa ulifanyika, na kutahitajika uthubutu mkubwa wa kauli. Haijalishi kutakuwa na mchujo wa kauli leo na siajabu tukawaona na kuwasikia wengine kwa kutowasikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo pia ni mradi wake,wakati unaanzishwa,yeye ni makamo wa Rais.Na mradi huu ulianzishwa na Mwalimu Nyerere.Lini tutazindua vya kwake huyu mama?
Huo pia mi mradi wake,wakati unaanzishwa,yeye ni makamo wa Rais.Na mradi huu ulianzishwa na Mwalimu Nyerere.Lini tutazindua vya kwake huyu mama?
Mkumbuke na Mwalimu Nyerere,ndio mwanzilishi.Wapumzike kwa amani wale wote walioshiriki katika ujenzi huu wa Ikulu mpya wakiongozwa na JPM. Vijana wa JKT wanaelewa namaanisha nini hapa.
"vile prezidaa mama Samia angalii nayoo anaisikia sauti ya papa Magufuli inatomboka mumasikio yake nilitaka kutoka machozi juu vile Magufuli alivyokua akipenda inchi yake"
👆
hayo maneno ya raia mmoja wa Congo nikipiga nae story za bongo na Congo kwa pamoja nilipoenda Akumbukwe Mwalimu Nyerere.
Kinana alikuwa ziarani nchini Vietnam.Kama kwenye tukio la leo hatutamuona Kinana, basi tujiandae kutuma salamu za rambirambi.
NB: Kama!
Ikulu iwe mahali penye utakatifu.MAOMBI MAZURI YA
ASKOFU WA CCT NA
SHEIKH MKUU - BKT
WANASEMA,
IWE SEHEMU YA MAAMUZI YA HAKI
WAWE NA HOFU YA MUNGU