Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma
Haya mambo ya ccm hapa yalipofikia ni patamu sana

View attachment 2628625

Yaani Wote hawakutambua chochote kuhusu Magufuli kwenye ujenzi wa Ikulu ya DODOMA , ila mwishoooni Kwenye hitimisho Rais Samia ndio kafurukuta kumtaja , japo kwa taabu !

Hii maana yake nini ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
MaCCM ni majitu ya ajabu sana, hasa haya machawa yaliyotapakaa kila mahali ktk nchi hii
 
Hata Mrisho Mpoto Mnafiki sana nimemsikiliza kwenye hizo kelele zake anazopigaga Kila mara kawasifia Mwinyi Mkapa Na Kikwete sijui kwakuwa aliwaona wamekaa pale... huku Makufuli..kamsifia kidogo sana wakati jiwe alifanya maamuzi magumu mama kawaumbua Maana kamsifia ....Mrisho Mpoto Acha unafiki [emoji3166]
Kaka angu Mrisho ni mtu wa kutembea na upepo, kama bendera! Nadhani kuna teuzi anaifukuzia ngoja tusubiri muda utaongea.
 
Back
Top Bottom