Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

Nilikuwa nimemwani sana mama SSH lakini kwa sasa naona mwelekeo wake sio mzuri kabisa!
Nahisi kuna washauri wake wanataka 2025 asiwe na sifa kabisa za kuwania kiti cha Uraisi!
 
Masharti ya mnaowaita Mabeberu unajipangiaje sasa
 
washauri wenyewe ndio hawa akina simbachawene[emoji24][emoji24][emoji24]

kama taifa tushajichanganya.
 
Akishindwa atasingizia jinsia yake.
 
Wanao mshauri wanajua kwamba wana mpotosha.

Hao ni kina Mwigulu. Rais wa kwenye mawe. Nae anautaka urais. Hivyo Mama akiboronga ni credit kwa wataka urais.

Mama yeye bado haja soma hiyooo...
kama umeusoma huo mchezo basi pia kausoma kuwa kuna wamendeaji hiyo ni kawaida tangu zamani hata kabla ya zama za Gaius Julius caesar... rafiki wa karibu huwa ndio adui wa karibu haiepukiki akili ni kuwa na utulivu katika kupambana nao ukikurupuka yanakukuta ...nukuu :beware of those who claim to have no interest in power or this is often astrategy to disarm you when the time comes they will strike without hesitation and it will be too late to act
 
Wanao mshauri wanajua kwamba wana mpotosha.

Hao ni kina Mwigulu. Rais wa kwenye mawe. Nae anautaka urais. Hivyo Mama akiboronga ni credit kwa wataka urais.

Mama yeye bado haja soma hiyooo...
Ni akina Mpango.

Alipomchagua Mpango alidai anafanya hivyo ili asaidie kwenye uchumi. Inaonyesha kuwa Mpango so Mchumi mahili pamoja na kufanya kazi World Bank.
 
Tatizo ni CCM, wanataka wapate pa kusemea kwenye uchaguzi maana muda si rafiki sana kwao, tayari timu Maza washaanza vibwagizo majukwaani, wengine wanaomba hadi kazi ya ukapeni meneja....nchi inaingia kwenye matatizo makubwa sababu ya hizi awamu awamu za CCM na makundi yao ya ushindi.
 
Ni rahisi kuongea ila naamini unakuwa bila shaka utaona usahihi wa alichofanya Mhe. Rais. Katika hili hana baya.
 
Raisi SSH haijui Tanzania ( jeneral twaha ulimwengu)
Hajapita kwenye amatanuru ya kisiasa ya nchi hii kawa naibu wazir, wazir VP na President.
Usitegemee cha maana hapo
 
'There not serious, we need a Nation economic structure, which can not be tempered by politicians .' hapo nisawa na kuishi kwakukopa yule ambaye anakudai sana unakopa na kumlipa',kulipa madeni ya ndani ndiyo kiwe kipaumbele cha serikali ni njia mojawapo ya kuchochea uchumi
 
Wataalamu gani hao! wewe nae ndio wale wale
Ndege siyo maembe, kwamba unaenda na pesa CASH sokoni kununua.

Samia yuko madarakani kwa miezi 6 tu mpaka sasa, kwahiyo unadhani hizo dege zimeaagizwa jana ??
 
Baada ya Rais Magufuli kufariki, Tanzania tumepoteza mwelekeo tulitegemea mama atakuwa kiongozi ila nimeshangaa nae kawa mwanasiasa anafanya maamuzi kufikiria uchaguzi wa 2025.
Hili linashangaza kwa kweli!
 
Nani kakwambia Mimi Niko wapi? Kwamba kumukosoa Rais lazima use upande Fulani?

We Ni jinga kabisa
Wewe ni tahira umshauri nani?? Ulitangaza kuacha siasa za CDM humu JF, ila kwa sababu unatabia za kigasho huna misimamo umerudi na unafiki wako, nyambaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…