Ipungue kutoka 12%-18% ndio nini umeandika ???Alikuwa live TBC1 mkuu akihutubia baada ya kuzindua jengo la BoT tawi la Mwanza. Kaongea mengi likiwamo hili na kutaka riba za mabenki zipungue kutoka (12%- 18%) hadi 10% kushuka chini.
Download mwenyewe hotuba yote ya rais akiwa Mwanza.
Paypal tu shida. Sembuse crypto...Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano Crypto-Currency na Bitcoin.
Hayo matransation yaliniacha hoi baada ya kuona wahusika wanamind sana hizi zetu za cash tulizooea.Kwenye kuwekeza siwezi mshauri mtu ujalibu mwisho wapicha utatapeliwa tu BTC ni mzuri kwa malipo unanunua online kwakutumia simu kisha unatuma unafanya malipo nje ya nchi unaweza badala ya kwenda bank na kufanya TT utapoteza muda mwingi pia pesa inachelewa sana kufika ila btc ni sawa na PayPal au email ukimtumia dakika kaisha pata fee ni kidogo sana.
Kwale wanaosafiri kwenda nje ya nchi pia btc inasaidia sana hata kama una dolla laki 8 unaweka kwenye btc wallet au unaweza print out ukifika unakokwenda nchi nyingi wana mashine za ATM zina sehemu ya btc una scan kwenye barcode unatoa mpungu
We zangu na mimi ccm wanasafiri na mabunda ya pesa wakifika airport wananyanganywa na kufunguliwa kesi za utakatishaji pesa badili wana wa mapindu dunia iko mbali sana sisi tuko nyuma sana
Duuh! Soma vzuri nilivyoandika. Riba ya sasa ina range kati ya 12% na 18% ktk mabenki tofauti tofauti.Ipungue kutoka 12%-18% ndio nini umeandika ???
Tatizo ni wewe kupokea pesa kwenye account wale PayPal wanatufanya sisi kama ndondocha wa mataifa mengine kazi yetu sisi ni kulipa watu wa mataifa mengine ila sisi hatuwezi kupokea pesa kutoka kwa kwaoHata mie nataka kujua. Mbona kufungua PayPal account simple tu. Au ku-link PayPal na Bank account ndio tatizo lilipo? Nitafurahi akitoa ufafanuzi.
Point 3 kachukua kwenye hiliAmetisha sana mama ktk hili.
Siyo kama mwendazake alikaa kizamadamu sana yule.
PayPal yako ina sh ngap?Hata mie nataka kujua. Mbona kufungua PayPal account simple tu. Au ku-link PayPal na Bank account ndio tatizo lilipo? Nitafurahi akitoa ufafanuzi.
Wafuasi wa mwendazake mna shida sana, ni lini mtaamini kwamba jamaa yenu ameshafukiwa na harudi tena? Mwacheni Mama atawale kwa namna yake ya uongozi, 2035 mtamweka mtu wenu mwingine mumtakayeMwanasiasa ambaye hataki makuu anakuwa amevamia fani isiyo yake!
wana ccm kutoa raisi wanapenda analog kwasabu ya ulasimu na wizi na Ndio maana na wachukia wanarudisha maendeleo nyumaHayo matransation yaliniacha hoi baada ya kuona wahusika wanamind sana hizi zetu za cash tulizooea.
Bado yupo yupo sana, untill 2035, una miaka 14 ya maumivuRais wa hisani ya katiba huyu hivyo mwie radhi tu..
Tutaamini pale na sisi tutakapoenda alipoenda tukiwaacha ninyi mkiishi milele na milele!Wafuasi wa mwendazake mna shida sana, ni lini mtaamini kwamba jamaa yenu ameshafukiwa na harudi tena? Mwacheni Mama atawale kwa namna yake ya uongozi, 2035 mtamweka mtu wenu mwingine mumtakaye
Sasa si muende now? Kama walivyofanya wafuasi wa Pharaohs Misri? Maana miaka 14 kuishi katika nchi ambayo Rais wake humpendi ni tatizo kubwa kisaikolojia, ni mateso makubwa, bora ujiondoshe mapemaTutaamini pale na sisi tutakapoenda alipoenda tukiwaacha ninyi mkiishi milele na milele!
Acha mama aingie kichwa kichwa...
Na wewe utabaki milele? Pumbavu!!Sasa si muende now? Kama walivyofanya wafuasi wa Pharaohs Misri? Maana miaka 14 kuishi katika nchi ambayo Rais wake humpendi ni tatizo kubwa kisaikolojia, ni mateso makubwa, bora ujiondoshe mapema
Pumbavu wewe na mafala wenzako mnaomwabudu marehemuNa wewe utabaki milele? Pumbavu!!
Atazifungua tuHaya mawizara hayawezi kufanya kazi bila maelekezo ya Rais?Halafu unaruhusu vipi biashara ya online currencies huku ukiwa umezifungia media za online transactions kama vile Paypal na Skrills?Hawa CCM wana funza kichwani badala ya akili?
Wewe mwenyewe unademka. Aliyekwambia Elon Musk anamiliki crypto hata moja ni nani?Cryptocurrency ni pesa ya elon musk mvuta bangi wa tesla company na yeye kikataa mwezi jana tu. Mama amesoma kwa taarifa za mitandaoni kaanza kudemka na yeye.Urais ni taasisi hilo wataalamu wa uchumi watamkatalia , hata US , baba wa ubepari ameikataa na China ameikataa. Kwa jinsi mataifa kama China wanavyochukia na kuumizwa na majivuno ya marekani, kisa dollar yake kuwa ndio inayofanya 70 per cent ya transaction ya biashara duniani, kama bitcoin na cryptocurrency zingekuwa za maana mchina na mrusi na EU wangekuwa wa kwanza kuipitisha.