Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

Uwezi kupokea pesa ukiwa bongo japokua Safaricom ya Kenya unapokea

PayPal kufanya malipo nilazima ulink card ya bank au taasisi za kifedha card yenye uwezo wa kufanya malipo online kama visa au MasterCard

Uspo link na card ya bank au kampuni ya simu au Taasi za kifeha unaweza kupokea pesa kama umefungulia account yako ya PayPal nje ya bongo kwenye nchi zinazopokea pesa lakini bado uwezi kuzitoa kwasabu gate way ni card ya bank labda uzifanyie manunuzi ju kwa juu au nunue btc online kisha uziuze
 
Ndo hivyo badilika mkuu
China juzi juzi imepiga marufuku Cryptocurrencies kutoka na sababu mbali mbali. Tesla nayo imetengua uhamuzi wake wa awali wa kukubali malipo ya crypto.

Crypto inakubalika nchi kama El Salvador ambayo inanuka rushwa!!
 
mpuuzi sana wewe/ you know nothing where the world is heading to '
 
Kama una miliki line ya voda inabidi wakutoe kwenye huduma ya mpesa maana you dont believe in technology,nenda kapange foleni bank
 
Ametisha sana mama ktk hili.

Siyo kama mwendazake alikaa kizamadamu sana yule.
Dah! kuna binadamu mmekosa shukrani,aliyekuambia kila kitu kitafanywa na JPM ni nani?unajuaje maamuzi ya SSH kwenye hili ni mawazo ya mtangulizi wake?
pengine wakati ulikuwa haujafika kwa mwendazake kulitolea maamuzi na hasa ukizingatia kuwa kifo nacho akibishagi hodi,sio kila jambo utafute wa kumlaumu😎
 
Hahhahahahahahaaha jamani jamii forum ina watu vichwa humu ndani daaah ///umenichekesha Sana,ubarikiwe sana huko uliko mkuu
 
Hebu acha kuandika upuuzi!!!! Kama hujui chochote kuhusu kushuka kwa hii currency JIONGEZE!!! Lini ulisikia dollar inashuka kwa 50%?
😳😳😳
In April, 2021 was looking to be a banner year for digital assets, with bitcoin having topped $60,000 for the first time ever. But a recent plunge in crypto prices has shaken confidence in the market. Bitcoin sank to nearly $30,000 last month, and is currently down roughly 50% from its all-time high.

The digital currency is now up only about 12% since the start of the year, though it's still more than tripled in price from a year ago.
 
Mwache AKURUPUKE tu!!
Nimegundua kitu huyu mama ni mwepesi sana kumdanganya, naona kabisa tunapoelekea vitaruhusiwa vitu ambavyo hata shetani mwenyewe anaviogopa
 
Why do we need another BoT office in Mwanza again? Someone help clarify this on behalf of the JF massses.

Ukitoa USA ambayo in offices NY (which is pretty much a private bankers association), DC (the main government CB which influence policies) and in another in Philadelphia (if I am not mistaken, forgotten what it really does) complicated kwa kwa siasa zao za lobbying kuelezea hizo mbili za ziada zina shughuli gani; other than US who else has more than one Central Bank office outside their capital city.

Someone in the HR department za serikali aliyetoa kibali na BoT alietoa suggestion ya kujengwa office mpya they are not qualified.

Get qualified people to run the central banks;the whole thing is pathetic and adds to unnecessary government expenditures.
 
We bado kweli unataka kufananisha utapeli wa Bongo na hawa matapeli wanaotaka kulipwa kwa hiyo currency? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… JIONGEZE siyo rahisi kama unavyotaka kudanganya watu humu.
 

Crypto crackdown​

A number of issues are weighing on cryptocurrencies, including fears of a regulatory clampdown and recent tweets from Tesla CEO Elon Musk.
Chinese authorities last month called for a crackdown on crypto mining and trading. Once a major player in the market, China has since moved to stamp out speculative investment in cryptocurrencies, banning a fundraising method known as initial coin offerings and shuttering local exchanges.
Meanwhile, Elon Musk has gone from a supporter of bitcoin to seemingly falling out of love with it in a matter of months. Musk's electric car firm stopped accepting bitcoin as a payment method last month due to concerns over its environmental impact, resulting in a crypto market sell-off.
"Bitcoin bulls have been chastened by the market pull back and perhaps are feeling once bitten, twice shy," Charles Hayter, CEO of digital currency data firm CryptoCompare, told CNBC.

"The euphoria has worn off to some extent in the retail frenzy, as regulators have moved to temper manias," he added. "Data is showing continued cornering of the market by institutionals."
 
Yaani mi niwe na cash halisi/ benki halafu kuna jamaa naye anashinda mitandaoni kwa magumashi mara uit wake then heti inatambulika rasmi!!
Tunahitaji elimu zaidi hili tuwe na common understanding kwanza.
Yule mzee wa Namanyere aliyetumiwa smartphone na kijukuu chake nani alimfunza kuchat whatsapp?
 
Alikuwa hajaevolve bado to Homosapiens, kuna viumbe katika same species huwa wanachelewa kuevolve, Alikuwa bado Homohabilis
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…