Sheria ipo mzee ukifungua vizuri kijitabu kilichoandikwa 1977 lazma utaikuta mle aidha amendment lakini itakuwepo! Shida inayofanya wapuuzi wa CHADEMA wanapigwa spana za kisiasa ni kwamba hawana ustaarabu!Sasa wameruhusiwa kwa sheria ipi? Na wasio wabunge wamekatazwa kwa sheria ipi? Embu kuwa wazi kidogo, au tuchue maoni ya rais kuwa sheria? Kwamba kila rais atakeyatamka alichokubaliana na wenzake kiwe sheria???
Kwamba haupigi mwingi tena?????Ameshapotea tayari
kwahiyo kurithi wewe imekuuma au ulitaka hiyo katiba mpya izuie kurithi?Nadhani bwege ni wewe usiyejua umuhimu wa katiba, hujui hata rais aliyerithi madaraka ni kwa sababu ya katiba?
Au unatumia nini kufikili???
Ah wapii tulianza kunyoosha nchi sahizi tunajenga uchumi kwanza sio mda wa siasa[emoji23][emoji23][emoji23] na kampeni
Natumia matako ila naelewa hilo fika mzee mwenzangu! Katiba ime stipulate kila kitu...na ndio umuhimu wake ulipo ila hata ikija mpya wakapuuza vipengele flani hali itakuwa ile ile tu! Tukubali kutokukubaliana katika hili! Katiba hata ikiwa excellent ila msimamizi akawa mbovu hali itakuwa tete tu!Nadhani bwege ni wewe usiyejua umuhimu wa katiba, hujui hata rais aliyerithi madaraka ni kwa sababu ya katiba?
Au unatumia nini kufikili???
NIAMBIE HIYO KATIBA MPYA INAKWAMISHAJE MAENDELEO KAMA UNA AKILI UTAFAFANUA LAKINI KAMA UNAFUATA MKUMBO SWALI GUMU SANA NA NDIYO NITAJUWA WENGI MNAFUATA MKUMBO INAKWAMISHAJE MAENDELEO?
Hahahahah walipindisha akina Aikaeli na genge lake la UKAWA na sasa COVID19 wanaendelea kupindisha ila tumewakaukia tunajenga uchumi kwanzaUlianza kunyoosha nani aliipindisha? Chadema au Cuf??
Wewe utakuwa Mlinzi wa Lumumba unahofia mkate wako
sasa kama una akili hebu sema katibba ya sasa inakosa gani au inakunyoima maendeleo kivipi ukijibu hayo nitakuona una akili ukishindwa nitakuona kama changudoa tu anaye vizia walevi wambandue maana utakuwa hujijui hata unataka niniUkiwa mjinga wa kutupwa huwezi tambua umuhimu wa katiba inayofaa, ni sawa na kujiita mkristo huku hutaki biblia ama kujiita muslim huku hutaki kitabu kitakatifu. Shame on you.
sawa twende sawa tutafika tu sasa hihi katiba ya sasa inatatizo gani kubwa kwako mpaka unalazimisha katiba mpya hii ya sasa ina kosa gani?Sasa mm nimesema wapi Katiba mpya inakwamisha maendeleo? Mm ni pro Katiba mpya boss, acha kuchanganya mafile
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumaniokor tutaelewana tu taratibu wacha tuoneshane makali!
Mambo ya hovyo snKwamba haupigi mwingi tena?????
Madaraka ni kitu kingine mkuu,Muda si mrefu na yeye atakuwa kama mtangulizi wake tu. Kwa mbaali madaraka yameshaanza kumlevya.
Ukiwa Kiongozi, halafu ukashindwa kutambua mahitaji ya wale unao waongoza kwa wakati huo, maana yake umeshakuwa failure tayari
Uzi wako ni mzuri sana mkuu.
Umemshauri na kunikumbusha Mheshimiwa rais kwa staha na heshima sio kama hawa mapunguani wengine.
Naomba kujuzwa zaidi kwenye hiyo hoja hapo.
Mimi nijuavyo ni kwamba Rais anakuwa na ilani ya chama chake ambayo ndio alioitumia kuwashawishi WANANCHI. Narudia tena mkuu, kuwashawishi WANANCHI wamchague na wala sio wana CCM kama inavyodhaniwa ili wamchague.
Sasa Leo unaposema watu wa kumwambia ukweli rais ni wapinzani wake, hii imekaajee??
Kwahiyo aachane na ahadi (ilani) ya chama?? Ambazo wananchi ndio walizielewa na kumchagua au kukichagua chama chake?? Ili awasikilize wapinzani???
huo ndiyo ujinga wenu kuna mtu anakula kutokana na mikutano? kunahela inatoka wapi unayogawiwa kwenye mkutano?acheni ujinga
hivi wewe una akilikweli hivi ungekuwa wewe upo pale madarakani ungeweza kuresign kilahisi namna hiyo eti tu kulinda legacy ya nini hiyo kitu?akakataa angechukua hatua ya ku resign kulinda legacy yake.
Sheria ipo mzee ukifungua vizuri kijitabu kilichoandikwa 1977 lazma utaikuta mle aidha amendment lakini itakuwepo! Shida inayofanya wapuuzi wa CHADEMA wanapigwa spana za kisiasa ni kwamba hawana ustaarabu!
sasa katiba inakuzuia nini kupata ubunge kama watu wanakupenda si watakupa kwani hakuna wabunge wa upinzani bungeni siwapo? na wamepita kwa katiba hihiiiMikutano inazaa madaraka na mamlaka boss, wabunge, madiwani na rais ni mazao ya shughuli za kisiasa
kwahiyo kurithi wewe imekuuma au ulitaka hiyo katiba mpya izuie kurithi?
Natumia matako ila naelewa hilo fika mzee mwenzangu! Katiba ime stipulate kila kitu...na ndio umuhimu wake ulipo ila hata ikija mpya wakapuuza vipengele flani hali itakuwa ile ile tu! Tukubali kutokukubaliana katika hili! Katiba hata ikiwa excellent ila msimamizi akawa mbovu hali itakuwa tete tu!