PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatujakurupuka kwa hii listi
TULIJIPANGA
Mjichyanganye sasa siku ya 9

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
 
Nilijua tu akili kisoda mzee wa tende lazima ungekuja kukoment ujinga. Vp TEC ndo wamemwambia ateke na kuua watanzania? Je, TEC wamemwambia apore uchaguzi na kudidimiza demokrasia? Au unaongozwa tu na mihemuko ya kidini. Atende haki, alinde demokrasia na utawala wa Sheria, hilo tu hakuna atakaye kuwa na shida naye.
 
Tunajua mmejipanga ila nguvu ya umma ni nguvu kubwa wengine waongeze kwenye list yako
Chief of staffs, DGIS, Waziri wa mambo ya nje, Waziri wa Afya, sheria, Usalama, utumishi, Elimu, uchukuzi, Maliasili na utalii, Fedha, Zaidi ya Nusu ya familia yake ni mawaziri, wabunge.

Mtoto wake Abdul ni Makamu wa Rais for all practical purpose, Wengine ni washirika wa Kikwete, Rostam au mazezeta, wasaliti wa Tanganyika. Yanarubuniwa na cheo, pesa, umaarufu power and trappings of power.

Mshauri wake mkuu, muhimu ni yule aliyeleta KMKM na kuua maelfu ya Watanganyika.
 
Ongezea na hii listi

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
 
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".

Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8

elimu elimu elimu

Sijajua kama anajua nin maana ya Serikali ?

Sijajua kama anajua nchi ni ya watu na watu wana uhuru wa kuihoji au kuikumbusha serikali yao , maaskofu ni watz kiasili wengine wa kuzaliwa

Sijajua kama anasahau kuwa wajibu wake ni kuchukua maoni ya raia wake na sio kuangalia nan ametoa maon

Sijajua kama anapambana na wadhifa wa mtu badala ya kujadili hoja za mtu , hii maana yake yale madai yanaeza kuwa kwel

Hawa wazee wa mid 1900s wengi ni vilaza na wanatakiwa kupish maana wanataka iendesha nchi kiagemate system badala ya kuzingatia katiba
 
shida ni yeye kuwa na nguv kuliko Rais wa TEC au shida ni utekaj ? kipi kinahatarisha usalama wako?
 
waislam wa bara wasipostuka wanatumiwa kufanya DIVIDE AND KISHA WAJE WATURULE MAZIMA

HAWA WAZENJ HAWATUPEND SISI WATANGANYIKA WOTE ILA WAMEONA NJIA SAHIHI KWASAS NI KUWATUMIA WAISLAM WA BARA AMBAO WENGI NI VILAZA
 
Halafu kuna watu wanadandia kuwa anakataliwa kwa sababu ya dini yake.
Wewe kwanza ushajiita mzee, kaa kando,
Tukifuatilia mada zako humu tokea enzi ya kikwete hakuna ulikuwa unakiona kwake kizuri, hata tukirudi nyuma hakuna ulichokosoa kwa Mkapa
Alipokuja mgalatia mwenzako, ulikuwa hulali na kuleta mada za kumtetea, na ndio mwanzilishi wa unayoyaona sasa, alivyokufa ulipotea humu kama ulizikwa nae
Lakini alivyokuja Samia kwa kuwa sio mgalatia mwenzako, ukaibuka tena
Mawazo yako humu ni kama pumbu za mbuzi, zinaendanda na mweleko wa mwendo unashabihiana na matako yako.
 
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".

Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8

Kumuachia aendelee baada ya kuiba uchaguzi ataipeleka nchi kuzimu ; hiyo miaka minne tu aliyorithi amepaisha deni la Taifa to astronomical levels ambao ni mzigo mzito sana kwa wananchi! Kumuachia aendelee atatuongezea madeni ya nje na ndani to such levels the country will fail to service the debts!! Tanzania if wrongly handled will definitely become a failed state simply because Samia ana tamaa ya madaraka!!
 
Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu".

Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8

Samia ameteka wangapi, kama wangepelekwa mahakamani baada ya kukamatwa moja kwa moja kungekuwa na tatizo?

Tatizo ni la kidini au sheria kufuatwa? Wangapi ni vijana wa waislamu waliokamatwa?
 
Wewe ni muislam wa BAKWATA ndio maana huoni mapungufu ya Samia. Samia hatakiwi kwasababu ameshindwa kutawala nchi na sio kwa sababu ya dini; mbona Mawaziri wake wengi sio waislam bali wagalatia!!
Jaribu kuwa objective kwa kutoangalia dini ya muhusika unapojadili hoja humu! Kuhusu Kikwete kama alisutwa enzi ya utawala wake[ yeye na Samia ni kitu kimoja} ni kwasababu ya ufisadi wake uliokithiri. Na Samia nae ameiga matendo ya mentor wake kwa kutawala kifisadi; angalia alivyowajaza ndugu zake na wazenj wenzie kweye baraza la Waziri ili waibe bila aibu!! Ndio maana kwa sababu hizo wananchi wamemkataa na kuita utawala wake haramu!
 
Kanisa lina kashfa chafu sanaa za ulawiti ushoga n.k hili washawahi kulikemea?
 
shida ni yeye kuwa na nguv kuliko Rais wa TEC au shida ni utekaj ? kipi kinahatarisha usalama wako?
Shida ni yeye kuacha kazi ya injili na kuingia kwenye siasa akiwa na kanzu na kola za altareni.
 
Anaumia kwa nyaraka nane tu, je katika utawala wake wametekwa na kupotezwa watu wangapi?
Uzuri alisema hasikii ni jambo jema kujua kuwa anasikia vizuri na kuelewa na hata kuguswa na jumbe mbali mbali.Ikiwa hilo lina ukweli basi arekebishe pasipo sawa na asichukulie kuwa ni shambulilizi kwake ila ushauri wenye nia ya dhati,ya hali bora kwa taifa hili.
 
Wame-override serikali kwa miaka zaidi ya 60, na ni muendelezo wa idiolojia ya mkoloni. Sasa wamekutana na NABIII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…