Kabisa walitisha sana na ndio maana nadharia nyingi za redpill zinaingiliana na mfundisho ya kiislamu.Kwenye hapa kobazi walitisha sana.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumkubali huyo bibi anaenuka damu za Vijana wa TanzaniaUnajua najiuliza hivi Samia anakubalika na kundi gani hapa nchini? Maana kama anaona wakristo hawamkubali kisa yeye muislamu, anaona kuna wasiomkubali kisa jinsia yake, kuna wasiomkubali kisa asili yake, vijana nao hawamkubali wameshawishiwa na hadi kulipwa fedha ili kufanya vurugu nchini sasa ina maana Samia ni kundi gani hilo ambalo ndio lenye kumkubali Samia?
Anatangaza vita ndani na nje ya nchi.
ShitholeKwamba kikundi au taasisi yoyote kilichosajiliwa kama kikundi hakiwezi kufutiwa usajili hata kama kikundi hicho au taasisi hiyo mnaona inakiuka matakwa yenu na mamako
Mkamateni nyie na mama yenu mbona mna kila kitu anaogopa nini nawakumbusha tu miaka nenda rudi tumeishi kwa kujifunza mnafikiri kuna wakatimtakuja kuchinja mkristo kama mlivyofanya kule geitaShida sio TEC yote shida ni FR kitima ndo ana chuki binafsi
Kiongozi anapaswa kuwa Emotionally Intelligenthapana kwa Tanzania inabidi saa zingie uwe unanyoosha maneno kama ilvyokuwaga kwa Magufuli , maana leo wamechambwa hadi donors
yani unajitekenya alafu unacheka kanisa Katoliki ni taasisi kubwa dunia. Kazi ya Tec ni kuongea mambo maovu yote nanayotendeka.TEC Wana kiburi wakiamini nchi Yao,leo wamechanwa na wakiendelea nadhani mabanzi yatafuata, tanzania siyo kigango cha kanisa wala parokia
Shida ya Machawa wamezoea kusifu kila kitu hata mama yao akijamba wao utasikia "tunasonga mbele"yani unajitekenya alafu unacheka kanisa Katoliki ni taasisi kubwa dunia. Kazi ya Tec ni kuongea mambo maovu yote nanayotendeka.
Hiyo siyo ufufuo na uzima bana unaweza funga asubuhi akatoa ada mchana lifunguliwe.
Punguza ujuha kima wewe! Hakuna uchaguzi uliofanyika Tanzania. Hiyo kitchen party yake na hao mercenaries wa ccm, watanganyika hawaitambui. Wewe hata kukuita mbwa naona hau-fit bora nikuite *****!!Yeye ameongea na wazee wa dar es slaam
Kama ujumbe umewafikia mbwa nyinyi basi ni wenu huo
Hatuchek na kima yoyote
umeongea points zenye akili nakukubalia asilimia 100 sema kwa mfano kuhusu upinzani kuna sehemu walizingua wenyewe, kuanza kugoma na kutoa maneno makali sana wakati yeye aliwalegezzea ki ukweli inaudhi,Kiongozi anapaswa kuwa Emotionally Intelligent
Unapaswa kujua kuzungumza nini na wapi na hali ya wakati huo
Leo hii kuna tension ya kidini halafu unaenda kuchochea moto
Nyerere was charismatic, hata kama watu walichukia vipi lakini alijua kuwalainisha
Fuatilia alivyo ushawishi umma kuingia vitani Uganda licha ya kuwa ile vita ilikuwa ni personal zaidi kwa Idd Amin
Magufuli yeye alikuwa na haiba yake ya pekee na hakuwa fake, alisema lile analotaka bila kujali feelings za watu na ndivyo upinzani alieleweak kwa ubabe wake
Binkubwa hapa anauma na kupuliza halafu anawasakizia wengine na kujivua lawama, udanganyifu wa akili, mental/emotional deception au gaslighting
Vatican ndio ina run duniaTEC Wanahoja shida yao ni kutaka kujiona na wao Wana mamlaka au Influence, Waheshimu Presidency basi
Urais ni taaasisi wanaenda Makanisani kwasababu nchi ni tulivu
Jitaje mwenyewe upo jumuiya gani nije nihakiki mahudhurio yako π§π§Jumuiya ipi huwa hunioni?
Mt. GASPAR Mbezi BeachJitaje mwenyewe upo jumuiya gani nije nihakiki mahudhurio yako π§π§
Liongo πππMt. GASPAR Mbezi Beach