The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Takataka anamtaja mungu kwa.mambo yasiyomhusuView attachment 2413484
Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?!
Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati.
NB: Teknolojia.
We kenge kweli kweli. Kwani awamu ya tano magufuli ndo alitangaza kuwa tupo uchumi wa Kati.Awamu ya tano iilikuwa mahiri sana kwa upikaji takwimu. Yule dhalim alikuwa mtu wa kamba sana.
Hebu niambie kwa nini?…Huyo unayejibishana naye hana uwezo wa kuelewa unachoeleza hapa.
Huna uwezo wa kuelewa, ndiyo maana hata hili huwezi kulielewa.Hebu niambie kwa nini?
Wewe mwenyewe huna uwezo wa kuelewa sasa sijui itakuwaje.Huna uwezo wa kuelewa, ndiyo maana hata hili huwezi kulielewa.
Sina muda wa kupoteza.
WB na IMF unafikiri wanatoa wapi data au takwimu? Umejiona ulivyo punguani na lipopoma?Unaakili kweli?kwani anayeweka hizo data ni magufuli au WB au IMF?tumia elimu yako ya darasa la Saba
We kunguni kumbe upogo?Wewe mwenyewe huna uwezo wa kuelewa sasa sijui itakuwaje.
Ulifikiri sipo?We kunguni kumbe upogo?
Nilijuaga umekufa eti.Ulifikiri sipo?
Tuvumiliane tu.Nilijuaga umekufa eti.
Kiashiri namba 1. Nikupatikana umeme wa uhakika kunasahidia kukuza uzalishaji na awamu ya tano umeme ulikuwa ni uhakika.Awamu ya sita sasa kuingia tu madarakani mgao ukaanza kwa wimbo wa mitambo hakufanyiwa service,muda wa kiangazi cha kawaida ikawa mabwawa yamekauka hapo mitambo ilitengemaa,sasa mvua zimeanza kunyesha cjui watakujana wimbo gani😂😂😂.Kiashiri na 2. Kumbuka mwaka 2017 Tanzania iliongoza kwa uchumu jumuishi according World bank.Kwa ulambaji wa asali huu na mgao huu wa umeme uchumi jumuishi utatoka wapi na kwanini tusishuke mpaka uchumi wa natakoni😀😀Nipe kiashiria kimoja cha kukua kwa uchumi wa tz.
Kama aliweza kuwadanganya world bank na Imf basi alistahili kuwa Rais wa dunia kama anaweza kuwazidi WB na imf ila kumbuka Magufuri aliweza kudhibiti mfumuko wa bei na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa uchumi jumuishi Afrika.Utakufa nacho kijiba cha roho! Magufuli alikua mpika data hatukuwai kuwa hukoo.
Angalau umejitahidi kuelezea. Bravo.Kiashiri namba 1. Nikupatikana umeme wa uhakika kuna sahidia kukuza uzalishaji na awamu ya tano umeme ulikuwa ni ukakika.Awamu ya sita sasa kuingia tu madarakani mgao ukaanza kwa wimbo wa mitambo hakufanyiwa service,muda wa kiangazi cha kawaida ikawa mabwawa yamekauka hapo mitambo ilitengemaa[emoji23][emoji23][emoji23].Kiashiri na 2. Kumbuka mwaka 2017 Tanzania iliongoza kwa uchumu jumuishi according World bank.Kwa ulambaji wa asali huu na mgao huu wa umeme uchumi junuishi utatoka wapi na kwanini tusishuke mpaka uchumi wa natakoni[emoji3][emoji3]
Kwahiyo WB au IMF wanatumia data za uongo?aisee kweli huna akili.yaani taasisi kubwa Kama hizo zitumie data za uongo?WB na IMF unafikiri wanatoa wapi data au takwimu? Umejiona ulivyo punguani na lipopoma?
Takwimu hupelekwa na Wizara ya fedha we mpumbavu sasa jiulize hawapiki data?
Sasa kama unataka kuona utofauti kati ya uchumi wakati na uchumi wa mkiani kesho amka asubuhi nenda dukani utakuta kilo moja ya unga ni 2000 kutoka 1000.Baada ya hapo utaona mgao wa umeme hakuna umeme siku nzima na hakuna maji siku tatu sasa huo ndo uchumi wa mkiani😂😂Mbona sioni tofauti ya tulipokuwa uchumi wa kati na sass tunapoambiwa tumeshuka uchumi wa mkia, tangu napata akili Tanzania imejaa maskini, mnatuita wananchi wa Kawaida.
Nimefurahi kukuona tena... maana hata funza ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu.Tuvumiliane tu.
😳😳😳😳Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako