Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

Mh. Mwigulu alisema prof ni Muongo. Sasa inakuwaje? Je na rais Samia ni Muongo??? Ila CCM tunajitafuta mno kabla ya 2025
 
Nipe kiashiria kimoja cha kukua kwa uchumi wa tz.
Kiashiri namba 1. Nikupatikana umeme wa uhakika kunasahidia kukuza uzalishaji na awamu ya tano umeme ulikuwa ni uhakika.Awamu ya sita sasa kuingia tu madarakani mgao ukaanza kwa wimbo wa mitambo hakufanyiwa service,muda wa kiangazi cha kawaida ikawa mabwawa yamekauka hapo mitambo ilitengemaa,sasa mvua zimeanza kunyesha cjui watakujana wimbo gani😂😂😂.Kiashiri na 2. Kumbuka mwaka 2017 Tanzania iliongoza kwa uchumu jumuishi according World bank.Kwa ulambaji wa asali huu na mgao huu wa umeme uchumi jumuishi utatoka wapi na kwanini tusishuke mpaka uchumi wa natakoni😀😀
 
Utakufa nacho kijiba cha roho! Magufuli alikua mpika data hatukuwai kuwa hukoo.
Kama aliweza kuwadanganya world bank na Imf basi alistahili kuwa Rais wa dunia kama anaweza kuwazidi WB na imf ila kumbuka Magufuri aliweza kudhibiti mfumuko wa bei na kuifanya Tanzania kuwa kinara wa uchumi jumuishi Afrika.
 
Kiashiri namba 1. Nikupatikana umeme wa uhakika kuna sahidia kukuza uzalishaji na awamu ya tano umeme ulikuwa ni ukakika.Awamu ya sita sasa kuingia tu madarakani mgao ukaanza kwa wimbo wa mitambo hakufanyiwa service,muda wa kiangazi cha kawaida ikawa mabwawa yamekauka hapo mitambo ilitengemaa[emoji23][emoji23][emoji23].Kiashiri na 2. Kumbuka mwaka 2017 Tanzania iliongoza kwa uchumu jumuishi according World bank.Kwa ulambaji wa asali huu na mgao huu wa umeme uchumi junuishi utatoka wapi na kwanini tusishuke mpaka uchumi wa natakoni[emoji3][emoji3]
Angalau umejitahidi kuelezea. Bravo.
 
WB na IMF unafikiri wanatoa wapi data au takwimu? Umejiona ulivyo punguani na lipopoma?

Takwimu hupelekwa na Wizara ya fedha we mpumbavu sasa jiulize hawapiki data?
Kwahiyo WB au IMF wanatumia data za uongo?aisee kweli huna akili.yaani taasisi kubwa Kama hizo zitumie data za uongo?
 
Mbona sioni tofauti ya tulipokuwa uchumi wa kati na sass tunapoambiwa tumeshuka uchumi wa mkia, tangu napata akili Tanzania imejaa maskini, mnatuita wananchi wa Kawaida.
Sasa kama unataka kuona utofauti kati ya uchumi wakati na uchumi wa mkiani kesho amka asubuhi nenda dukani utakuta kilo moja ya unga ni 2000 kutoka 1000.Baada ya hapo utaona mgao wa umeme hakuna umeme siku nzima na hakuna maji siku tatu sasa huo ndo uchumi wa mkiani😂😂
 
Wewe unaongea nini sababu kubwa ya kurudi uchumi wa chini ukiacha Covid ni Sera mbovu za uchumi alizozia adapt Magufuli.
N.B Magufuli amechukua Nchi ikiwa Uchumi wa Kati kwa Taatifa yako
😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom