Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

..uzalendo mbele[emoji16][emoji23][emoji23]
IMG-20210715-WA0031.jpg
 
Hakika Sasa nimeamini kumbe Wapinzani Walituchelewesha sana Kukusanya KODI
WATANZANIA hii inayoitwa KODI ya Uzalendo ndile ile KODI YA MAENDELEO nadhani MKAPA ALIIFUTA sasa umerudi Kwa Jina LINGINE Tutarajie KODI ya BAISKELI nayo INAKUJA TANZANIA imepania BARABARA ZA VIJIJINI KUWA ZA LAMI
WAPINZANI WALITUCHELEWESHA SANA.
giphy.gif
 
Tatizo la wapinzani ni kutumia michango wanayokusanya kutoka kwa nyumbu wao kwenda kulewea kama ilivyotokea kwa yule mwenyekiti alievunjika mguu kwa sababu ya konyagi, huku kodi zinazokusanywa na serikali zinatumika kujenga shule, barabara na hospital.
Acha vihoja pandisha hoja humu.
 
Hili swala la serikali kuamua vitu na kuvipitisha kama wapangavyo wao mi nahisi wa kujilaumu ni sisi wenyewe raia wa Tanzania kwa sababu sijapata kuona nchi Ina raia wapuuzi kama bongo aiseh mwisho WA siku nchi itauzwa hii na tulivo wapuuzi tutachekelea na kutunga memes uko mitandaono.... Poor tanzanian😥😥
 
  • Thanks
Reactions: PNC
HUU NI UDHULMATI MKUBWA SANA KWA WANANCHI HAWA MASKINI. NI UDHULMATI WA KISHETANI KABISA.

Hawa Wanasiasa wana Dini kweli? Kwa nini wanapenda kumchezea Mungu? Majambazi wakubwa ambao wameamua kuwadhulumu wananchi kwa kuwaanzia kodi za kishetani kuwanyonya hata kidogo walichokuwa nacho.
 
... nendeni kwenye mikutano ya kisiasa/kampeni mkasikilize na kuchuja sera na ilani - hatuna nafasi sisi!
... someni sera za vyama na ilani zao mpate mwanga wa jinsi zitakavyosaidia au kuumiza maisha yenu watanzania - hayatuhusu sisi!
... fuatilieni vyombo vya habari mjue yanayojiri nchini na Bungeni kwa manufaa ya maisha yetu na vizazi vyetu - mambo ya wanasiasa hayo!
... sikilizeni hotuba za viongozi wa kisiasa na kuzichambua kwa umakini - fiesta iko mtaani leo!
... kutakuwa na mikutano ya kisiasa kuhusu Katiba Mpya - hayatuhusu, tumpigie kura Diamond ashinde!
... jamani saa mbili usiku wekeni taarifa ya habari kuna jambo zito la kitaifa - kaangalie chumbani kwako na mkeo sisi tunaangalia mchezo!

Siasa ndio kila kitu ndiyo inayoamua maisha yetu ila ndicho kitu kinachopuuzwa zaidi na watanzania! Unapopuuza siasa unapuuza maisha yako hivyo tusilalamike wala kumsingizia mtu; ni matokeo ya upumbavu wetu wenyewe!
 
Hatuna Kiongozi ... Nawaambia kama hamjafahamu mpaka sasa. Hamna kitu pale. Ni picha tu.... Ni Tumepata Salma Mtembezi. Hakuna anachoelewa. Si wa kupambania wananchi.

Tulisema anaupiga mwingi.. sasa anaendelea kuupiga mwingi usio na faida sababu ni nje ya uwanja. Haina maana kabisa.
 
Hatuna Kiongozi ... Nawaambia kama hamjafahamu mpaka sasa. Hamna kitu pale. Ni picha tu.... Ni Tumepata Salma Mtembezi. Hakuna anachoelewa. Si wa kupambania wananchi.

Tulisema anaupiga mwingi.. sasa anaendelea kuupiga mwingi usio na faida sababu ni nje ya uwanja. Haina maana kabisa.
Anachojua ni kuteua kila siku
 
Kwa hiyo ulitaka wale wa vijijini ndio wawe na barabara mbovu? Lipa tozo kijana.

Sie watumishi tumeshajenga SGR na Stiegler Gorge kwa maumivu ya kutopandishwa mishahara,kutolipwa posho,kutopandishwa madaraja,kutumbuliwa,kuongezwa majukumu nk.

Mkaponda Sana...
 
Back
Top Bottom