Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

Mama ongea na Melo uzi pendwa urudishwe hapa sie bachelors tunaumia na vipande vya komoa
 

Kumbe mama huwa anawacheka tu chawa wake wanapo watuhumu wapinzani kuwa wamelamba asali.

Chawa mueleweni mama, muuozoee huu utamaduni wa kuzungumza.

Siasa sio uadui hata usizungumze na mpinzani wako.

Hii chawa wamepigwa kwa kisigino cha skuna.
 

Ndiyo maana tunasema JF kuna watu wazito humu.

JF inabidi wawape permanent BAN mashoga wanaijipigia debe humu.
 
Wale mliofunga pm zenu kwa upendo tu nawaambia msije mkapishana na teuzi za mama shauri yenu
 
Mtu yeyote mwenye akili nzuri hawezi kudharau jamii forum !! Humu vipo vichwa kweri kweri ila na makapi yapo pia !! πŸ˜‚πŸ˜‚ kila mtu ni unique kwa namna yake !!
 
Alaaaah kwa hiyo anacheka tuu, alafu baada ya kucheka?
Zipo comments atakuwa anazichukua na nyingine anajadiliana na washauri wake na nyingine huwa zinamchekesha tu kama tufanyavyo sisi pia humu jf πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…