Rais Samia, jipunguzie kazi kwa kumuweka Makonda au Nape kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Unamaanisha makonda yupi?
Maana hadi anaondoka hajawahi kumuona makonda mwenye umakonda
 
Ni sahihi kuna kipindi unahitaji watu wa hivyo Ili Nchi iende kwa sababu tumefika mahala kila mtu ana sharubu na anaweza kutoa tamko,kupinga nk

Kwa sasa nikiangalia ni kama Serikalini haina nidhamu au kuna watu wanesusa
Kiongozi nashukuru, umenielewa. Wadau wengine hapo juu wanakimbilia kutukana tu bila kuangalia kwa kina hoja husika (labda kwakuwa ni wanufaika wa dalili za ombwe). Narudia, hao vijana anawahitaji mno sasa hv ili afanye k1azi zake kwa nafasi na kujiamini
 
hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule........isipokuwa raisi tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:

Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.

Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Baba kigani njaa imeshakushika tayari naona unajipa promo upate ubunge
 
Halafu ujue unamkosea heshima bashite kwa kumuita makonda
 
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:

Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.

Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
hao majambazi hawafai kupewa wadhifa kama huo hasa bashite saa hizi anatakiwa awe ananyea debe,hata na hivyo mzizi wake unachemka jikoni
 
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:

Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.

Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Makonda anatosha kabisa! Ni jasiri lkn pia mchapakazi na mweledi, Ana upendo tofauti na baadhi ya watu wanamvyomtafsiri.
 
Ndiyo wamekutuma?Tanzania inavijana wengi kuliko unavyo fikiri!
Hao watu wako,zama zao zimekwisha pita mwache mama ateue kwa utashi wake upambe umepitwa na wakati ndugu.
 
Makonda anatosha kabisa! Ni jasiri lkn pia mchapakazi na mweledi, Ana upendo tofauti na baadhi ya watu wanamvyomtafsiri.
Kabisa mkuu, mwenyewe nimegundua hilo. Nape tangu nimuone anapita vijiji walivyomtishia hadi maisha, tena peke'ake, namheshimu sana kwa ujasiri! Pia kichwani yuko vizuri.......ni uamuzi wake tu mama hapo
 
Ampe sabaya,akina mbowe watolee mahesabu stahiki ya ruzuku zao.we tangu lini magari ya chama yana kadi za watu binafsi.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:

Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.

Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!

Sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana. Tunataka Raisi aendeshe nchi kwa ubabe na hofu
 
Back
Top Bottom