Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi nashukuru, umenielewa. Wadau wengine hapo juu wanakimbilia kutukana tu bila kuangalia kwa kina hoja husika (labda kwakuwa ni wanufaika wa dalili za ombwe). Narudia, hao vijana anawahitaji mno sasa hv ili afanye k1azi zake kwa nafasi na kujiaminiNi sahihi kuna kipindi unahitaji watu wa hivyo Ili Nchi iende kwa sababu tumefika mahala kila mtu ana sharubu na anaweza kutoa tamko,kupinga nk
Kwa sasa nikiangalia ni kama Serikalini haina nidhamu au kuna watu wanesusa
Huyuhuyu unayemfahamuUnamaanisha makonda yupi?
Maana hadi anaondoka hajawahi kumuona makonda mwenye umakonda
Wizara ya mambo ya ndani ni kubwa sana, naona ingegawanywa mara mbili
Kwani hii ni pumba kiongozi?Watu mnaandka pumba sana.
Baba kigani njaa imeshakushika tayari naona unajipa promo upate ubungehao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule........isipokuwa raisi tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.
Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Hanifahamu na niko mbali bae mnoBaba kigani njaa imeshakushika tayari naona unajipa promo upate ubunge
SawaWewe kweli kisebengo
HahahahaaaaaHalafu ujue unamkosea heshima bashite kwa kumuita makonda
hao majambazi hawafai kupewa wadhifa kama huo hasa bashite saa hizi anatakiwa awe ananyea debe,hata na hivyo mzizi wake unachemka jikoniHao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.
Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Sawa kisebengo weituSawa
Makonda anatosha kabisa! Ni jasiri lkn pia mchapakazi na mweledi, Ana upendo tofauti na baadhi ya watu wanamvyomtafsiri.Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.
Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Ndiyo wamekutuma?Tanzania inavijana wengi kuliko unavyo fikiri!Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki:
Watazuia, kikamilifu na bila uoga, chokochoko zozote zile zenye nia mbaya na hivyo kukupatia pumziko la akili (amani) itakayokuwezesha kupanga mipango yako madhubuti ya kimaendeleo.
Nawasilisha, ukifutwa uzi basi nitaendelea kujilalia tu!
Tumekusikia 'Kaoge' wetuSawa kisebengo weitu
Kabisa mkuu, mwenyewe nimegundua hilo. Nape tangu nimuone anapita vijiji walivyomtishia hadi maisha, tena peke'ake, namheshimu sana kwa ujasiri! Pia kichwani yuko vizuri.......ni uamuzi wake tu mama hapoMakonda anatosha kabisa! Ni jasiri lkn pia mchapakazi na mweledi, Ana upendo tofauti na baadhi ya watu wanamvyomtafsiri.
Jamaa kajaaliwa mashallah mtoto wa watu
Hao vijana ni wajasiri, wenye kuthubutu, wanajiamini na hawaogopi mtu yeyote yule isipokuwa Rais tu, of course! Mwenye sifa hizo, unamuhitaji sana kipindi hiki: