Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Wewe unavyo waona hao wanajeshi wa CCM, unaona wana akili timamu vichwani mwao ?Ni kwamba amewaona hao wanajeshi ni wajinga hawajui yale matokeo ya kura ni ya kupika?
Siku hizi uzalendo ni kutii utashi wa rais na genge lake.Kutii Mambo ya hovyo ndio wanaita "Discipline" au "Uzalendo" ?
Hawa wanaojiita wanaume wamekaa wanamsikiliza mwanamke aliyejivika nguo za jeshi huku hajui hata kuinua bunduki akiwahutubia kuacha kuwasikiliza wananchi, wakati yeye anawaua ni jambo linaloshangaza sana!! Hawa wanajeshi ndio kimbilio la mwisho la wananchi wasio na silaha pale wanaposhambuliwa na kuuwawa na makundi ya wahuni!!Huyu mwanamke ni mnafiki sana,ajabu wanaume wazima na ndevu zao wamekaa hapo wanamsikiliza.
Yamkini,sio bureMpaka kufikia kuongea hivyo basi kuna kitu kipo kinafukuta chini sio bure.
Uko sahihi🔨🔨📍Mpaka kufikia kuongea hivyo basi kuna kitu kipo kinafukuta chini sio bure.
Kivipii mkuu,? Maana kwa mauaji liyofanya huyu mama na mwanaye hakustahili hata kujiita rais wa nchiRemember: Kete zinasukumwa kwa akili sana....
Zingatia neno "HALALI"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo amesisitiza kuwa JWTZ ni jeshi la wananchi na linapaswa kubaki huru na siasa za vyama, likiwa na utii kwa Serikali HALALI iliyopo madarakani.
Rais Samia ameyasema hayo akizungumza na Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kabla ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga tarehe 15 Desemba 2025.