PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo amesisitiza kuwa JWTZ ni jeshi la wananchi na linapaswa kubaki huru na siasa za vyama, likiwa na utii kwa Serikali halali iliyopo madarakani.

Rais Samia ameyasema hayo akizungumza na Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kabla ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga tarehe 15 Desemba 2025.

Jeshi la watawala sio wananchi...
 
Kwa mujibu wa katiba yetu ni chama cha ccm tu na kiongozi wake kinaweza kuamrisha JWTZ.

Naona kama hotuba iko irrelevent au imetolewa ili wahisani wasikie
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo amesisitiza kuwa JWTZ ni jeshi la wananchi na linapaswa kubaki huru na siasa za vyama, likiwa na utii kwa Serikali halali iliyopo madarakani.

Rais Samia ameyasema hayo akizungumza na Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kabla ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga tarehe 15 Desemba 2025.

Serikali inakuaje halali wakati imeingia madarakani kwa kujiongezea Kura isivyo halali
JWTZ ni migambo tu ya CCM,
Kazi ya Jeshi la wananchi ni kulinda katiba na mipaka ya nchi,
Katiba inasema serikali itaingia madarakani kwa uchaguzi huru na wa haki,JWTZ kazi yao ni kuwalinda CCM kuingia madarakani,..........JWTZ ni Migambo tu ya CCM,wanajeshi wapo huko M23 wanatetea rasilimali za nchi
 
JWTZ jeshi la CCM toka enzi za mwalimu.

Zidumu fikra za mwenyekiti zidumu.

Yule mzee jinga sana aliharibu nchi kila mahali kisa kuipenda kwake CCM sasa hivi nchi imevuja kila mahali kwa mamifumo mabovu aliyoyasuka na kuyaishi yeye.
Tusimlaumu Nyerere kwenye hili. Nyerere alikuwa wazi, hakuficha kuwa yeye ni mjamaa kama Mao wa China, hivyo hata jeshi lake alilifanya lifanane na majeshi ya nchi za kijamaa kama China, Urusi, Cuba, Hungary Yugoslavia, North Korea, nk. Unapomlaumu Nyerere ni kwamba wewe huna unachokijua kuhusu Tanzania. Majeshi ya China ndiyo yanaifanya China iwe China kama ilivyo, na yale ya Urusi ndiyo yanayompa kiburi Putin kwakuwa majeshi yale ni sehemu ya chama tawala, Uganda hivyohivyo, Rwanda hivyohivyo, Cuba hivyohivyo.

Baada ya lile jeshi kuasi lilivunjwa na kutengeneza hili ambalo wanajeshi wote walikuwa wananchama wa CCM na siasa ilikuwa inafundishwa jeshini na maafande PEO (Political Education Officers). Baada ya mfumo wA VYAMA VINGI NCHINI mafunzo ya siasa yalikoma lakini namna ya kuwapata wanajeshi imebaki vilevile.
 
Asee wee ni kisude kweli. Yani unasema tusimlaumu afu unatoa sababu kama mia za kumlaumu.
 
Kivipii mkuu,? Maana kwa mauaji liyofanya huyu mama na mwanaye hakustahili hata kujiita rais wa nchi
Kama ukimuua muaji wako kuna ubaya? Wewe unadhani wale waliofanya vurugu octoer 29 walikuwa wanaelekea hadi wapi kufanya nini?

Kama mapinduzi yakifeli hali haiwezi kusalia vilevile. Lazima kuna consequences kwa waliotaka kupinduliwa na waliotaka kupindua. Serikali itakuwa imara sana na efficient, na jeshi litakuwa imara sana baada ya reshuffles nyingi kufanywa na wengine kupewa adhabu zao kwa mujibu wa sheria zao na viapo vyao. Mtandao mzima utajulikana na malengo yao.
 
JWTZ jeshi la CCM toka enzi za mwalimu.

Zidumu fikra za mwenyekiti zidumu.

Yule mzee jinga sana aliharibu nchi kila mahali kisa kuipenda kwake CCM sasa hivi nchi imevuja kila mahali kwa mamifumo mabovu aliyoyasuka na kuyaishi yeye.
Huyo mzee alinusurika kupindiliwa mara tisa. Wanajeshi wa zamani walijielewa sio Hawa wa ndio mzee kwa kila mwanasiasa
 
Mwambienu huyu kibwengo aache kututukana. Jeshi amelibadilisha linalimlinda yeye sio Tanganyika wala Tanzania.

Jeshi, Polisi, Usalama, Bunge, Mahakama, serikali yote sasa hivi wanalinda wahuni wachache.
Jeshi halilindi mtu linalinda Taifa, hata Rais mwenyewe hajui namna anavyolindwa. Ulinzi wa taifa ni dude (web) linalojiendesha lenyewe, kazi yake ni kunusa kila hatari kubwa na ndogo na kuichambua na kuzipatia majawabu. Usalama wa taifa ni watu wenye akili nyingi na vitendea kazi vingi sana, ni chombo ambacho hakipokei maagizo ya wanasiasa ili kulilinda taifa kwakuwa wanasiasa wengi hawana taaluma ya usalama wa nchi. Hivyo, usifikiri kila anaekamatwa ameagizwa na wanasiasa, hapanaaa, kama ingekuwa hivyo nchi hii ingeshaanguka kitambo. Kazi pekee ya wanasiasa ni kutoa fedha za mishahara, posho zao na gharama za mafunzo baaaasi. Kuna wakati hata CDF hajui kama nae anachunguzwa na nani anamchunguza, hata mkuu wa TISS nae hajui nani anaemchunguza nyuma yake. Kuupenya ulinzi wetu sio kazi rahisi, hata makaburu na wareno walishindwa, Idd Amini alishindwa, Kamuzu banda alishindwa, nk. Usione vyaelea vimeundwa; amani hii Tanzania haiko burebure tu.
 
Back
Top Bottom