Kivipii mkuu,? Maana kwa mauaji liyofanya huyu mama na mwanaye hakustahili hata kujiita rais wa nchi
Sasa wewe kisude, mpaka ifikie hali ya maandamano, si ni kwamba hawakusikilizwa? Yani umchokoze mtu, halafu umuue kwa sababu ameghadhabika?Kama ukimuua muaji wako kuna ubaya? Wewe unadhani wale waliofanya vurugu octoer 29 walikuwa wanaelekea hadi wapi kufanya nini?
Kama mapinduzi yakifeli hali haiwezi kusalia vilevile. Lazima kuna consequences kwa waliotaka kupinduliwa na waliotaka kupindua. Serikali itakuwa imara sana na efficient, na jeshi litakuwa imara sana baada ya reshuffles nyingi kufanywa na wengine kupewa adhabu zao kwa mujibu wa sheria zao na viapo vyao. Mtandao mzima utajulikana na malengo yao.
Hahaha. Hawa walikupa hifadhi pale ngerengere.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo amesisitiza kuwa JWTZ ni jeshi la wananchi na linapaswa kubaki huru na siasa za vyama, likiwa na utii kwa Serikali halali iliyopo madarakani.
Rais Samia ameyasema hayo akizungumza na Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kabla ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga tarehe 15 Desemba 2025.
View attachment 3516161
Nashangaa jmnEti Jeshi la wananchi!!
Exactly 💯imetolewa ili wahisani wasikie
JWTZ jeshi la CCM toka enzi za mwalimu.
Zidumu fikra za mwenyekiti zidumu.
Yule mzee jinga sana aliharibu nchi kila mahali kisa kuipenda kwake CCM sasa hivi nchi imevuja kila mahali kwa mamifumo mabovu aliyoyasuka na kuyaishi yeye.
Mara ya mwisho kwenye kiwanda Cha maji morogoro!!Remember: Kete zinasukumwa kwa akili sana....
Wameona wamuandikie awe anasoma tu asije kutengenezewa viral clips Tik Tik, kivuruge ndani ya combats.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo amesisitiza kuwa JWTZ ni jeshi la wananchi na linapaswa kubaki huru na siasa za vyama, likiwa na utii kwa Serikali halali iliyopo madarakani.
Rais Samia ameyasema hayo akizungumza na Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kabla ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga tarehe 15 Desemba 2025.
Tutakuwepo😢😢Mara ya mwisho kwenye kiwanda Cha maji morogoro!!
Tanzania haingozwi na mwanajeshi
Amiri Jeshi Mkuu sio mwanajeshi.
Kuwa bosi wa mtu si lazima uwe wa kada ya huyo unaemtuma
Waziri wa afya, bosi wa madaktari, yeye sio daktari
Waziri wa Ulinzi ni bosi wa CDF lakini yeye sio mwanajeshi
Waziri wa mambo ya ndani, bosi wa IGP, lakini yeye sio polisi
Waziri wa Utalii ni bosi wa TANAPA lakini yeye sio Jeshi la Wanyamapori
Sheria inakataza mtu ambae sio mwanajeshi kuvaa gwanda la jeshi
Samia anamuiga JPM lakini wote wamevunja Sheria
Sometimes tunawatengeneza madikteta sisi wenyewe.
Tunawalisha viongozi sumu za umungu mtu, sumu za uchawa, wanasikia sifa masikioni weeeee mpaka wanaamini wao ni vimungu. Siku ukimwambia Mama hapo huna madaraka hayo, hapo umekosea umeshindwa kazi hufai, unakuwa umemchanganya, haelewi, anakuteka, anakuua.
Vijistori vya taun mwaka 1987.Jeshi halilindi mtu linalinda Taifa, hata Rais mwenyewe hajui namna anavyolindwa. Ulinzi wa taifa ni dude (web) linalojiendesha lenyewe, kazi yake ni kunusa kila hatari kubwa na ndogo na kuichambua na kuzipatia majawabu. Usalama wa taifa ni watu wenye akili nyingi na vitendea kazi vingi sana, ni chombo ambacho hakipokei maagizo ya wanasiasa ili kulilinda taifa kwakuwa wanasiasa wengi hawana taaluma ya usalama wa nchi. Hivyo, usifikiri kila anaekamatwa ameagizwa na wanasiasa, hapanaaa, kama ingekuwa hivyo nchi hii ingeshaanguka kitambo. Kazi pekee ya wanasiasa ni kutoa fedha za mishahara, posho zao na gharama za mafunzo baaaasi. Kuna wakati hata CDF hajui kama nae anachunguzwa na nani anamchunguza, hata mkuu wa TISS nae hajui nani anaemchunguza nyuma yake. Kuupenya ulinzi wetu sio kazi rahisi, hata makaburu na wareno walishindwa, Idd Amini alishindwa, Kamuzu banda alishindwa, nk. Usione vyaelea vimeundwa; amani hii Tanzania haiko burebure tu.
WAJINGA ni waliobaki baada ya Nyerere,JWTZ jeshi la CCM toka enzi za mwalimu.
Zidumu fikra za mwenyekiti zidumu.
Yule mzee jinga sana aliharibu nchi kila mahali kisa kuipenda kwake CCM sasa hivi nchi imevuja kila mahali kwa mamifumo mabovu aliyoyasuka na kuyaishi yeye.