PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tanzania haingozwi na mwanaje⁷shi

Amiri Jeshi Mkuu sio mwanajeshi.

Angekuwa Rais ni mwanajeshi tusingesema Tanzania inaongozwa na
CIVILIAN RULE

Kuwa bosi wa mtu si lazima uwe wa kada ya huyo unaemtuma

Waziri wa afya, bosi wa madaktari, yeye sio daktari

Waziri wa Ulinzi ni bosi wa CDF lakini yeye sio mwanajeshi

Waziri wa mambo ya ndani, bosi wa IGP, lakini yeye sio polisi

Waziri wa Utalii ni bosi wa TANAPA lakini yeye sio Jeshi la Wanyamapori


Sheria inakataza mtu ambae sio mwanajeshi kuvaa gwanda la jeshi

Samia anamuiga JPM lakini wote wamevunja Sheria

Sometimes tunawatengeneza madikteta sisi wenyewe.

Tunawalisha viongozi sumu za umungu mtu, sumu za uchawa, wanasikia sifa masikioni weeeee mpaka wanaamini wao ni vimungu. Siku ukimwambia Mama hapo huna madaraka hayo, hapo umekosea umeshindwa kazi hufai, unakuwa umemchanganya, haelewi, anakuteka, anakuua.
 
Sasa wewe kisude, mpaka ifikie hali ya maandamano, si ni kwamba hawakusikilizwa? Yani umchokoze mtu, halafu umuue kwa sababu ameghadhabika?
 
Hahaha. Hawa walikupa hifadhi pale ngerengere.
Kikwete pia hapohapo.
Murilo alilala kwenye vitanda vya wagonjwa Lugalo.
Usicheze na nguvu ya umma
 
Huyo sio rais , hakuchaguliwa tarehe 29 hakukua na uchaguzi bali mauaji ya halaiki ya watanganyika kwa amri ya huyo muuaji ajuza.
 
JWTZ jeshi la CCM toka enzi za mwalimu.

Zidumu fikra za mwenyekiti zidumu.

Yule mzee jinga sana aliharibu nchi kila mahali kisa kuipenda kwake CCM sasa hivi nchi imevuja kila mahali kwa mamifumo mabovu aliyoyasuka na kuyaishi yeye.


Hata kama hatuipendi serikari ila heshima jambo la bure. Wakati anaharibu nchi babu yako alikuwa anafany nin?? Wew ndio jinga. Mtu anaheshimika kila mahala ila unakuja hapa oooh blah blah kumbe pumbavu ni wew!, haya unanguv inenge nchi na kurekebisha aliyoharibu tuone. Kutukana sio suluhu ya kila tatizo.
 
JW ni toilet paper, baada ya kua amewatumia kubaki madarakani kwa nguvu sasa anawambia wajiepushe na siasa.
Anaona kuna harufu ya kupinduliwa eeh?
 
Wameona wamuandikie awe anasoma tu asije kutengenezewa viral clips Tik Tik, kivuruge ndani ya combats.
Jeshi hilo lililosambaratishwa na M23 ndiyo analolisifia au analisifia kwa kuwa limejaa chawa wasiojua umuhimu wa kulinda raia wasiuawe.
 

Mimi nimehisi Samia anahujumiwa .
Coz cheo cha Amri jeshi mkuu ni cheo cha kisiasa TU, hakina sare za kijeshi. Hili mbona liko wazi , watu wa protocols mko wapi ,
 
vyeo vya ukuu wa mikoa na wilaya ni vya kisiasa sasa mbona wanajeshi wanateuliwa huko au anazungumzia jeshi la nchi gani? bado kazi kubwa mbeleni
 
Juzi juzi aliwategemea, kuingia kwake madarakani, jeshi lilisaidia, leo adai wasijihusishe na siasa?!
What a HYPOCRITE...MM
 
Vij
Vijistori vya taun mwaka 1987.
 
JWTZ jeshi la CCM toka enzi za mwalimu.

Zidumu fikra za mwenyekiti zidumu.

Yule mzee jinga sana aliharibu nchi kila mahali kisa kuipenda kwake CCM sasa hivi nchi imevuja kila mahali kwa mamifumo mabovu aliyoyasuka na kuyaishi yeye.
WAJINGA ni waliobaki baada ya Nyerere,

Hebu jiulize maswali ya Msingi:

- Mwenyewe alishasema Katiba sio Msahafu au Biblia, haya kwanini msiibadilishe?

- Haya, tangu amekufa Nyerere mpaka leo ni miaka mingapi? Mbona hatubadilishi hiyo mifumo?

Miwatu meusi ni meusi mpaka akili🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…