PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wewe upo kwenye mfumo unanufaika binafsi. Kwa udini, uchawa, kuua Watanganyika ili kulinda cheo, pesa, uchawa.
 
Jeshi lisijihusishe vipi na siasa wakati wanateuliwa kuwa wakuu wa mikoa na wilaya na kukabidhiwa ilani ya CCM?

papoje hapo
 
Hamna kitu hapo, na wametukatisha sana tamaa, jeshi gani wanatambua waibaji wa uchaguzi.Hawajiulizi kwa nini walimuapishia mafichoni???Tuna jeshi butu
Mwalimu aliiacha rushwa imekula chama chake, hakujua ipo siku hata jeshi lake litafikiwa ...ona sasa wanalamba asali na kuuza nchi pasipo kujali vizazi vya kesho vya masikini wa Taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…