imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Uko sahihi kabisa tena SG ndio walikuwa mstari wa mbele kutukashifu.Tulisema same words tukashambuliwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi kabisa tena SG ndio walikuwa mstari wa mbele kutukashifu.Tulisema same words tukashambuliwa sana
🙏Uko sahihi kabisa tena SG ndio walikuwa mstari wa mbele kutukashifu.
Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Halafu ukiagizwa na Mganga umpelekee Kuku Uchaguzi unapokaribia unafikiri huwa anaenda kufanywa nini?Hata kuchinja kuku si sahihi. Kuku pia wana haki ya kuishi.
HakikaKulikuwa na Simba wa Yuda a.k.a mchoma vifaranga
Kabla hajaingia pia mgao wa umeme haukuwahi tulikuwa tunauona k.m historiaRais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Ilikuwa hatari na nusuHakika
Hapo Sasa Ndiyo Utajua Siasa Lazima Uwe Ndumilakuwili Muda WoteYeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
SawaUmebadili jina la ID nini? Maana nmeona nakuignore, au nlikosea.
Rais Samia Suluhu ameleta Suluhu kati ya Tanzania na Kenya upande wa biashara sasa Tanzania inanufaika zaidi endelea kuupiga mwingi mamaRais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Ulikua ni zaidi ya upuuzi lakini sasa Rais Samia Suluhu anaendesha nchi kwa akili na sio nguvuKipindi hicho watendaji walifanya mambo kwa mzuka sana. Ndiyo pamoja na uchomaji nyavu, kupasua mitumbwi, kukamata ng'ombe na kutaifisha za wafugaji, kuvamia account za watu. Kwa ujumla kilikuwa Kipindi kigumu sana.
Leo kote huko kama hawapo?!. Ulikuwa ni upuuzi.
Sasa umeme mvua ikinyesha wiki tu, hiyo agenda inawafia, 😄tafuteni ajenda nzuri,, hili la umeme ndani ya nwezi huu tu hali itakuwa stableMgao wa umeme na maji pamoja na gharama za maisha kupanda ndio changamoto kwa sasa wasitupoteze maboya, mambo ya vifaranga yalishapita yeye akaombe msamaha huko Kenya basi maana na yeye alihusika kwa huo ujinga kama hakupendezwa nao angejiuzuru.
Sasa kama huwezi kutimiza majukumu yako si unajiudhuru tuKwa akili yako timamu unaamini kwamba kipindi cha Jiwe alikuwepo mtu gani wa kumshauri?!
Au uliwahi kusikia Jiwe ameshauriwa kitu na nani?