WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kama mama yako eti,hayo mambo yaliisha 17.03.2021Nasikia umezaliwa na malaya mama yako!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mama yako eti,hayo mambo yaliisha 17.03.2021Nasikia umezaliwa na malaya mama yako!!
Kama Makonda na Magufuri siyo.Wewe utakuwa shoga
Njoo nikufKama mama yako eti,hayo mambo yaliisha 17.03.2021
Na kuku aache kula.😆vinavyo haki ya kuishi.
Wewe unatafuta mwanaumeKama Makonda na Magufuri siyo.
Kweli alikuwa Makamu wa Rais na Katibu Mkuu wa sasa wa Chama chake ndiye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido. Vifaranga vilichomwa moto pale Namanga.......Yeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Aliyechoma alitumia vigezo gani kufanya hivyo? Alichukuliwa hatua gani?Rais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Ubarikiwe sana lakini uone isije ikakuletea homa ya manjano.Njoo nikuf
Na Chongolo alikuwa ndiye Mkuu wa Wilaya kule LongidoWataalamu waliovichoma ndio tatizo!
Vifaranga tu, watu wanachinja mazizi ya ng'ombe mkoa mzima wakipatikana wachache tu wenye ‘mad cow’ disease na kuwapa hasara wafugaji ya kufa mtu.
Export ya mifugo ina taratibu zake ukivunja hakuna negotiations kwenye wasimamizi makini. Hata paka na mbwa wa ndani nchi za wenzetu akitoka tu nje ya nchi kurudi lazima awe amechomwa vaccination ya rabies vinginevyo haingii.
Seuse mtu anaeingiza vyakula wakati sheria ipo wazi inataka certification yenye kuonyesha hawana magonjwa, halafu unatetea uvunjifu wa sheria.
Hakuna unafiki hapo...wewe na wenzako mlikosea kuchoma vifarangaYeye si alikuwa makamu wa Rais, alitoa ushauri gani? Aache unafiki
Na Chongolo alikuwa ndiye Mkuu wa Wilaya kule Longido
Sheria ndiyo inasema hivyo na ni duniani kote usipofuata taratibu. Ndio maana wakati wa corona hata binadamu alikuwa anawekwa karantini kwanza. Magonjwa ya kuambukiza ndio sababu mkuuAkili nyingine ni ya ajabu sana, inakuwaje unachoma Moto viumbe hai bila huruma??? Hata kama mmiliki ameingiza kimakosa haikufaa apigwe faini ili siku nyingine afuate utaratibu!?
Hatuwezi kuunga mkono Jambo hilo!
Aendelee kujifananisha huku nchi ikiyumbaRais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Katika kusimamia sheria??Kwenye hili Rais Samia yupo sahihi. Kila mwenye akili timamu alijua uamuzi ule ulikuwa ni ukichaa, na Dunia nzima iliiona Tanzania kama ni nchi ya watu wenye uwendawazimu.
Delila ameanza kuongea ya JPMRais Samia amesema amri ya kuchoma vifaranga 6400 vilivyoingizwa kutoka Kenya miaka mitano iliyopita ilikuwa sio sawa.
Rais Samia kasema hawakushulikia vizuri uingizaji ule wa vifaranga maana pia vifaranga vinavyo haki ya kuishi.
Rais Samia alizungumza haya wakati akiongea na mawakili wa ukanda ya Afrika Mashariki.
"Afrika Mashariki tuna soko la pamoja ambalo linatusaidia kufanya biashara zetu, tunakubaliana kwenye mambo ya customs na taxation lakini we had a lot of NTB's na ni tariff barriers ambazo mnajitahidi kuzifanyia kazi kuziondosha.
Ni kitu kidogo tu, ni mmoja kutoka kwenda kwa mwingine. Wakati mimi sikuingia, biashara yetu na Kenya ilikuwa ngumu sana, ngumu sana. Fika vifaranga mipakani pale, makaratasi hayasomi vizuri, vimetoka wapi haisemi vizuri, kunapita vifungu vya sheria as if sheria is everything. No no no sheria hairuhusu, solution hata hatuogopi dhambi, choma hivyo vifaranga.
Tumejisahau, vifaranga pia ni viumbe vya Mungu, walikuwa na life tukachoma"
Alisema Rais Samia
View attachment 2427229
Labda wangefanyaje?mbona vitu vya magendo vinavyoingia nchini vinateketezwa? Hao kuku wanaopitishwa bila kufuata utaratibu ikiwemo kuhakikiwa afya zao wakiingiza magonjwa hatari nchini nani atawajibika?sheria ifuate mkondo wake ...Peleka wanyama hai hata ulaya bila kufuata utaratibu uone kama havichomwi moto.hilo ni suala la usalama wa taifa....mapembe ya ndovu tunayoteketeza yanaleta faida gani?
Sent using Jamii Forums mobile app