Agombee moja kwa moja zenj......ili aitumikie kiroho safi, kwa nini kuvutana na wadanganyika akina ndugai...hamna ushahidi kwenye hili................na hata kama ipo hivyo ni kwa vile tuu Magufuli alimteua kuwa makamu wake na Maraisi wote wamekuwa wakiiamarisha mambo ya kwao hata kwa uchache tukumbuke hata Chato ipo vile kwasababu gani na ni ndani ya miaka mi5 ya kwanza ......ilishapendeza ,mpeni kijiji basi huku bara abadilishe kabila na ubini...........