Pre GE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama kweli JM alitaka kiti cha AU, na ali-reason kwamba hakuna namna Raila anaenda shinda kiti hicho na kwamba Ruto hatuna maslahi naye, na hakusikilizwa, na kweli yametokea.
Raila kafail AU, Ruto ndio huyo anawakaribisha M23 Kenya, wayajenge.

Kama ni kweli, basi Samia umetukosea sana.
 
Huyo akae nje ya baraza mpaka azeeke 2030 ajitokeze kuusaka uraisi japo si rahisi kuupata
 
Na Mama nae kaona kuwa Mtoto atamfaa sana hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 hivyo piga ua anaenda Kumrejesha.
Mama kachemka hapo, huyo february lazima chini kwa chini atakuja kumsaliti mama huko mbeleni hapo kaona ajifanye mjinga walau arudishwe kwenye post yoyote kuelekea uchaguzi 2025. Kigenge cha kina february kinajulikana nia na madhumuni yao, tunasubiri sasa mama akitembelea na huko kusini amtolee chakula aliemfichia wa huko. hii nchi ina vichekesho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…