The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Sawa mtabili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Mtama nae namtabilia meemaNa Mama nae kaona kuwa Mtoto atamfaa sana hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 hivyo piga ua anaenda Kumrejesha.
Atueleze kwanza huyo mwanae alimfanyajeeNa Mama nae kaona kuwa Mtoto atamfaa sana hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 hivyo piga ua anaenda Kumrejesha.
Mama kachemka hapo, huyo february lazima chini kwa chini atakuja kumsaliti mama huko mbeleni hapo kaona ajifanye mjinga walau arudishwe kwenye post yoyote kuelekea uchaguzi 2025. Kigenge cha kina february kinajulikana nia na madhumuni yao, tunasubiri sasa mama akitembelea na huko kusini amtolee chakula aliemfichia wa huko. hii nchi ina vichekesho sana.Na Mama nae kaona kuwa Mtoto atamfaa sana hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 hivyo piga ua anaenda Kumrejesha.
Ccm ni ile ile na watu ni wale waleWa Mtama nae namtabilia meema