Toka lini mwizi akabembelezwa au kuhamishwa kutoka sehemu aliyoiba kupelekwa sehemu nyingine akaibe zaidi?Sindio viongozi mnaowapenda hao mnalalamika nini sasa? Wanaume wakikamata nchi mnalia lia ooh madikteta. Uliona wapi mtu anayepambana na mwizi akala nae kwenye meza moja.
Si umesikia kwamba kuna watu wamekutwa na makosa zaidi ya matatu katika ofisi hiyo hiyo moja mpaka akaomba wawe wanabadilishiwa ofisi.Ripoti ya CAG sio hukumu ya Mahakama,ikithibitika hatua zitachukukiwa..
Kumbuka Rais Samia sio mtu wa mihemko,kukurupuka na ku loose temper kirahisi ,ukifanya hivyo anaweza umiza wengi.
Akiendesha nchi kwa hisia hizo, basi itamshinda mapema sana.Tatizo la mama ni kutaka kuonekana mwema machoni pa kila mtu. Pia anaogopa kufuata nyayo za mtangulizi wake maana ashaonekana mara nyingi akimkataa. Sasa amejikuta haelewi nini afanye hivyo anajiendea tu.
Hili nalo mkaliangalieMkuu unafikiri kuna rais pale?!!
Pale kuna kivuli tu kisichojitambua.
Inaonekana hata yeye mwenyewe haelewi mamlaka yake ni yapi, yupo kupiga mipasho tu.
Mkuu leo hujasifia? [emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna atakayebakia salama Wala kusalimika katika suala hili la ufujaji wa pesa za umma,Nafikiri umesikia mh Rais namna suala hili lilivyomkera,hivyo Tuwe na subira watanzania maana Tunaamini hatua Kali za kisheria zinakwenda kuchukuliwa ,wahusika watapitishwa katika njia ya majuto na maumivu makali Sana kisheria ambayo itakuwa fundisho kwa watu wengine
UnakatwaNchi inaendeshwa kwa kufuata katiba. Rais akiamua kutumia madaraka yake unavyotaka si tutarudi kwenye mambo ya awamu ya 5? Vyombo vya dola ndo vinatakiwa viwakamate wahusika na kuwapeleka mahakamani. Tukisema Mama aanze kutumia ubabe hakutakalika. Tumshukuru sana kwa kuamua kufuata utawala wa kisheria.
Sasa kama hawezi kupambana nayo peke yake au wa kumsaidia kupambana nayo wako wapi?You determine how serious people are based on how they solve pressing challenges.
Mkuu uendeshaji wa serikali ni mifumo. In short serikali ni protocols na systems na siyo mtu mmoja mmoja. Uozo wa mifumo ndo chanzo Cha mpenda sifa JPM kuwa aliko leo. Mifumo imeoza. Inanuka like huwezi kupambana nayo peke yako! Utaondolewa tu!
Wananchi tuamke Sasa!
Wasitubemende na propaganda za ushoga ushoga tunashadidia kumbe waandamizi wapo bize kupishana kukwapua mabilioni ya fedha!
Hahahahahah na ndio maana huu upuuzi ulipungua sana awamu ilioisha. Sasa sahizi mtu karuhusu kuanzia wakurugenzi wote wawe wezi, mawaziri, wana usalama kuna kitu kitabakia kweli?Toka lini mwizi akabembelezwa au kuhamishwa kutoka sehemu aliyoiba kupelekwa sehemu nyingine akaibe zaidi?
Dawa ya mwizi ni kunyang'anywa alichoiba, kufukuzwa na kufungwa ili iwe tishio kwa watu wengine wenye mawazo ya kuiba kama ya kwake.
Mkuu unafikiri kuna rais pale?!!
Pale kuna kivuli tu kisichojitambua.
Inaonekana hata yeye mwenyewe haelewi mamlaka yake ni yapi, yupo kupiga mipasho tu.
Raisi hakuagiza wachukuliwe hatua, bali aliwaomba waachie nafasi zao na kuendelea kula walichoiba.Mh. Rais ametoa agizo washughilikiwe haraka, Najua wahusika tumbo joto huko....sidhani Kama wizara/waziri husika atakubali apoteze kazi kwa kutotekeleza.