Hata katiba idondoke kutoka mbinguni kama ccm wakigoma kuachia madaraka hakuna chama cha upinzani kitachukua nchi
Hapo watu wataacha kumtukana?? Madaraka yanalevya.Huyo inajichimbia kabuli lake mwenyewe. Kipindi akiwa mwenyekiti wa tume ya katiba ya jaji Warioba, alikuwa anafanya nini pale mpaka tukapata rasimu ya katiba. Ameamua kuvujisha pesa za watanganyika kwa wizi unaoitwa elimu ya katiba kwa miaka 3
Kwani mchakato wa Rasimu ya Warioba waliotoa maoni walikuwa Ngedere??Umejitahidi kupotosha mkuu,
Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
Kwani maoni si yalikwisha tolewa Tangu enzi za Kina Mzee Warioba na Dtk MvungiUmejitahidi kupotosha mkuu,
Alichosema ni kuwa, watu wapewe shule vizuri ya katiba hii tulionayo, na pia kasema vizuri kabisa, katiba ni ya watanzania, hatuwez sema tuchukue maoni ya wanasiasa tu ndio tuunde katiba, lazima kila mtu atoe maoni, na ili kila mtu atoe maoni ni lazima watu waijue hii katiba iliyopo, na yupo sahihi.
ccm ni genge la wapumbavu linafikir katiba mpaka itolewe elimu samia atuambie katiba ya sasa ilitolewa elimu kwa kipindi gani ndio ikapita mwaka 1977 ni mpumbavu pekee na asiye na akili ndio anaweza kishabikia upuuz wa samia na genge lake la makuwadi ya dpworld.Elimu ya katiba bado sana nchi hii wanasiasa uchwara na wanaharakati wanadai katiba ili iwawezeshe kuingia ikulu wakati mambo ya muhimu mengi hakuna mwenye habari nayo. Namuunga mkono rais bado elimu inahitajika sana.
Dude linaloitwa katiba Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu hassan amesema kwamba watu wa nchi hii hakuna anaejuwa maana ya katiba kwa hiyo ni vizuri watu kwanza wafundishwe waelewe maana ya katiba kwani hata tuliyonayo hakuna anayeifahamu.
kuhusu katiba mpya jambo hilo litafanyika hadi pale watu watakapo kuwa wanaelewa hata hii tuliyonayo hii maana yake ni kwamba vyama vya upinzani ingawa vimeendelea kusisitiza kuwepo umhimu wa katiba mpya wajue kuwa kwa sasa hilo suala halipo.
Jambo pekee ambalo serikali inaenda kulifanya ni kuwepo kwa somo la katiba mashuleni na vyuoni pamoja na taasisi zote za dini na serikali kuelemishwa maana ya katiba kwani watanzania hawana uelewa na katiba hiyo.
Ndugu zangu vyama vya upinzani mjue kuwa tunaenda kufanya uchaguzi mkuu bila kuwepo kwa tume huru wala katiba mpya! je mko tayari kwenye mashindano? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Vyeti fekiKatiba siyo kipaumbele kwa sasa.
Huyu ni mwoga kuliko hata mtangulizi wake. Anatamani asogeze mbele hata uchaguzi watu wapewe elimu ya kupiga kura kwanza. Viongozi wa CCM ni janga kwa taifa. Wanachosema na wanachotenda ni tofauti. Ila sasa ndio wameuwasha moto. Kitakachowakuta hawataamini. Lazima watarudi mezani.Delaying tactics, labda Mama anataka kupora Uchaguzi ujao.
Ukitaka kuona rangi halisi ya viongozi wa CCM gusa jambo linalotishia madaraka yao kuondoka. Watakung'oa macho. Katiba mpya CCM walishajua itawatoa madarakani au kupunguza umungu mtu walio nao wakiwa madarakani. Hilo hawatalikubali katu katu...suala la " kuijua " katiba iliyopo sasa hivi ni subjective.
..kwa mfano, Rais ametumia mbinu, utaratibu, na njia gani, kutambua kiwango cha uelewa wa wananchi kuhusu Katiba?
..Ni wakati gani Raisi atatoa tamko kwamba wananchi wanaijua katiba iliyopo, na wakati gani atatoa tamko kuwa wanaufahamu na katiba inayopendekezwa?
..Naamini wakati muafaka wa kutoa elimu ya Katiba ni kipindi cha KAMPENI ZA KURA YA MAONI kuhusu Katiba pendekezwa.
..Kwa msingi huo wakati wa kuandika Katiba Mpya ni sasa.
Basi ni bora atupe Serikali ya umoja wa kitaifa ambayo itakuwa ya mpito ili tuingie kwenye mchakato wa KATIBA MPYA halafu tuingie kwenye General Elections.Delaying tactics, labda Mama anataka kupora Uchaguzi ujao.
Acha ujinga wewe. Sasa hayo mambo mhimu si ataseme yeye ni yapi . Wewe hayo mambo mhimu uliyonayo ambayo wengine hawajayasema ni yapi?Elimu ya katiba bado sana nchi hii wanasiasa uchwara na wanaharakati wanadai katiba ili iwawezeshe kuingia ikulu wakati mambo ya muhimu mengi hakuna mwenye habari nayo. Namuunga mkono rais bado elimu inahitajika sana.
Tume huru kwa katiba hii mbovu!Rais yuko sahihi. Kuna watu hawajui hata kitabu cha katiba kinafananaje. Hao wanaodai katiba mpya (CHADEMA) wanachofanya ni kuwaburuza nyumbu kwa kuwaambia katiba imeruhusu maandamano na uhuru wa kutoa maoni hata kama ni matusi. Wanachopigania ni kushika tu dola ili kujineemesha na sio kubadili katiba kwa manufaa ya kila mwananchi. CHADEMA hawana nia yoyote zaidi ya kwamba wanawaonea wivu CCM kuongoza nchi. Watu ambao ukiwauliza michango ya join the chain wanaishia kutukana hatuwezi kuwachagua kutuongoza. Chama kilichotumia bilioni 1 na nusu kununua pagale huko Mikocheni hakiwezi kushika dola kamwe. Zitto Kabwe alishauri wapinzani wenzake wapiganie tume huru kwanza ila nyumbu kwa ujuaji wao wakataka katiba. CCM nayo pia inataka katiba mpya ila hadi wananchi wapate elimu kwanza.
Subirini wananchi wapate elimu kwa miaka mitatu. Katiba sio ya vyama ni ya wananchi.Tume huru kwa katiba hii mbovu!
Katiba ya kikolon, inayompa Raisi kuteua jaji, tume ya uchaguzi, katibu wa bunge...kipaumbele kiwe kubadili katiba then katiba itatoa mwelekeo wa tume huru
Kwa hiyo uzito wa ubaya waliopo ikulu kwa sasa ni wa mchezo? Unajua maamuzi ya kijinga ya mbwa alifkiwa chato tu tunadaiwa na wazungu sh ngapi mahakamani???na hapa wanapigania wenzi wao walipwe mshaharaElimu ya katiba bado sana nchi hii wanasiasa uchwara na wanaharakati wanadai katiba ili iwawezeshe kuingia ikulu wakati mambo ya muhimu mengi hakuna mwenye habari nayo. Namuunga mkono rais bado elimu inahitajika sana.
Wakati mgumu kivipi wakati hata CHADEMA wanamkubali na kumwomba awe mgeni rasmi kwenye sherehe za BAWACHA? Acheni uoga. Mama bado yupo sana labda tu Mungu ampende zaidi.Huyu mama atakuwa na wakati mgumu sana 2025. Labda jeshi limsaidie vinginevyo sijui