Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hata akili zA kuangalia tu huna, nenda vyuo vikuu vitatu tena viwe dar au pwani kabisa , kila program hesabu idadi ya waislam na wakristoMajority ya Watanzania (around 71%) ni Waislamu.
We mpare huwa unanifurahisha sana 😂😂😂😂Anamfanyia wepesi Ado Shaibu wa ACT wazalendo aliyeangukiwa na kitu Kizito
Vant ???Mama akishapiga Vant huwa hana control
Hatua ipi?😆Nimestuka halafu nikashangaa na bado siamini nilichokiona!
Tuchukue hatua!
Hawawezi wakafa wote Bali Kama Kuna chochote kibaya anaweza akadhurika huyo mwenyeji wake maana sisi mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani alipewa glasi nyingine na wasaidizi wake, tofauti na watu wengine humu wanavyofikiri kuwa alitumia glasi aliyomnyweshea mwenyeji wake bila kujuwa kuwa glasi ilibadilishwa kwa uharaka mkubwa Sana na hata mh Rais wetu akaipokea kwa uharaka wa kikomandoo na kuinywa Ila watu Kama Bavicha hawawezi kuona maana huwa hawana umakini wowoteKama aliwekewa sumu wafe wote.
Mungu ni mwema
Kitu kimoja watu mnasahau. Mwanamke akiwa Rais habadiriki jinsia. Hawezi behave kama mwanaume. Tanzania si nchi ya wanaume tu, hata wanawake. Ningeshangaa sana kama Rais wetu mwanaume angemnywesha Rais Mwanaume wa Msumbiji. Take it easy.Mwache ale mvinyo weekend hii
Kwahiyo huyu nyusi tumwiteje? Emeji ama[emoji16]
Kuna mstaafu lzm anune
Unatumia nguvu nyingi kutetea upuuzi. Anayebadilisha kinywaji cha rais ni msaidizi wake tu. Msaidizi alikuwa nyuma yake hajabadilisha kitu. Wewe umeona mkono umenyoka kutoka kwa huyu mama alovaa nguo ya kaki ambaye waligonga glasi. Relax tuliza moyo. Wote humu watu wazima. Chutama.Hapana
Hapana siyo hivyo, Naomba uelewe kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Hakutumia Tena glasi aliyotumia mwenyeji wake kunywa Bali mh Rais wetu alipewa glasi nyingine na wasaidizi wake hapo mbele hatu chache ndio ukaona akinywa, watu hawajaangalia hapo kutokana na kuwa wengi huwa hawana umakini humu kufuatilia mambo na ndio maana unaona wengine wanachangia kana kwamba mh Rais wetu ametumia glasi aliyotumia kumnywesha mwenyeji wake
Mama anazidi kuipaisha nchi yetu kidiplomasia na kuzidi kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza hapa nchini, kazi iendeleee
Hapo ndio tatizo lilipo !! Maradhi yapo mengi Duniani !! Lakini hata hivyo hiyo sio issue kubwa kivile !!Hivi Corona imeisha?
Kiprotokali hivi hii kitu huwa ni ya kawaida au ni ugunduzi wa SSH?
Exactly!!Labda kastukia kinywaji, marais huongozana na wapishi wao hivyo anafanya uhakiki kuhusu kinywaji pengine kabonyezwa kuwa watu wake hawakupewa nafasi kuonja kinywaji kujua usalama.
Ile ya kusema Nyusi aache mvinyo anywe juisi ni mbinu za medani ku test hali ili Nyusi naye anywe fundo la juisi.
Sie wananchi tunaona ni issue kubwa. Si sawa kiusalama. Sie ndo wataalam wenyewe😀Hapo ndio tatizo lilipo !! Maradhi yapo mengi Duniani !! Lakini hata hivyo hiyo sio issue kubwa kivile !!
Rais amebadilishiwa na huyo msaidizi wake hapo hatua chache alipopokea glasi nyingine au wewe unazani kuwa Rais anakuwa na msaidizi mmoja tu? Shida yenu mmezoea upotoshaji wenu lakini mkiumbuliwa mnaanza matusi na kutafuta vichaka vya kujifichaUnatumia nguvu nyingi kutetea upuuzi. Anayebadilisha kinywaji cha rais ni msaidizi wake tu. Msaidizi alikuwa nyuma yake hajabadilisha kitu. Wewe umeona mkono umenyoka kutoka kwa huyu mama alovaa nguo ya kaki ambaye waligonga glasi. Relax tuliza moyo. Wote humu watu wazima. Chutama.
View attachment 2365666
Siwezi bishana na watu kama wewe ambao mumejitoa ufahamu ili kupotosha watu mtandaoni. Endelea upate ujira wako.Rais amebadilishiwa na huyo msaidizi wake hapo hatua chache alipopokea glasi nyingine au wewe unazani kuwa Rais anakuwa na msaidizi mmoja tu? Shida yenu mmezoea upotoshaji wenu lakini mkiumbuliwa mnaanza matusi na kutafuta vichaka vya kujificha