Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Hebu acheni mambo yenu ya Kizanzibar, huku bara sisi kula denda ni jambo la kawaida. Samia amekuja bara atakuwa kama sisis tu. Ndio maana tuliwaambia hata kuvaa bikini ruhusini ili mpate watalii. Leo hii hata mashoga wanakuja kuvalishana pete huko Zanzibar na kula denda hadharani. Badilikeni basi.
 
Salaam

Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Punguza wivu bwashee
 
Wewe uwe unatulia usiwe Kama Bavicha , mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na msaidizi wake aliyekuwa hapo mbele hatua chache, Hivyo siyo kweli kuwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, Angalia hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea kwa uharaka na kuinywa Ile aliyopewa na msaidizi wake, muwe mnachangia baada ya kuwa na uhakika wa kile mnachokiona siyo unasoma maoni ya watu na wewe unachangia bila kuelewa kitu

Wewe chawa huna hoja hakukuwa na sababu ya msingi yeyote ile kunywesha juice Rais wa msumbiji halafu nayeye akanywa palepale halafu anawambia watu wajilinde na Ebola na covid! Kulikuwa na tishio gani dhidi yake?
 
Kuna baya gani hapo.tuache ujinga wakukuza mambo bila sababu.Mtu kua rais haimaanishi hana mambo binafsi kama binadamu.Na ilo tukio wala halihusishi jambo lolote baya zaidi ya kujenga mahusiano tu yakinchi.Hayo mengine mume wake ndiye anayepaswa kuongea naye uko chumbani sio wewe kwasababu sidhani kama kuna mtanzania anayehusika au mwenye mamlaka na mambo ya ndani ya rais zaidi ya yeye mwenyewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mume wake! Bahati mbaya hawezi kutoka hadharani kusema kitu, hivyo tumeamua kumsemea!
 
Nimeyasema hayo maana walikuwa wanapotosha na kusema uongo kuwa mh Rais wetu mpendwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, ndio nikaeleza vizuri kabisa kuwa mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na kuipokea kikomandoo ambapo usipo kuwa makini hata wewe unaweza usione

Wewe ni mlongo mlongo wa kutupwa kabisa unafikiri sisi hatuoni?
 
Mama Samia Suluhu wakati unaingia uwanja wa ndege (base aérea) pale Mavalane Maputo ukitokea kwenye kwenye congresso lá Frelimo kule Matola nimekuita sana ila umenichunia😂😂😂
Karibu tena Msumbiji mwaka 2024 sisi bado tunalilinda Taifa huku tuliko
cd908a41bca14afebdefc63d1a1ee4af.jpg

Nalog off  Z
 
Salaam

Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Kwani festi ledi wa Nyoso hajarusha makonde?
 
Uko sahihi kabisa. Ilikuwa issue ya ku cross check usalama wake.
Angalieni logic hapo, japo ki utamaduni labda alikosea. Lakini ilibidi na yeye anywe ili kiusalama iwe okay maana kama wamekunywa wote incase litatokea jambo basi asijesingiziwa yeye kampa juice ndiyo mtuhumiwa. Na vilevile kama alipewa ki aina ambayo anahisi ilikuwa siyo salama basi hiyo technic ni ku verify kuwa iko salama...Tuwe positive jamani...Kila siku kumsema vibaya President atakosa nguvu ya kuendelea.
 
Back
Top Bottom