kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Wewe huwa unafanyaga hayo kwa mkeo tuu au demu wake au boy wako?Ni kweli mambo ya ndoa hayatuhusu lakini akumbuke ni Rais wa nchi anapaswa kulinda mila na desturi zetu!
Jibu kwa ufashaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huwa unafanyaga hayo kwa mkeo tuu au demu wake au boy wako?Ni kweli mambo ya ndoa hayatuhusu lakini akumbuke ni Rais wa nchi anapaswa kulinda mila na desturi zetu!
Na kwa watoto wangu wadogo au wagonjwa!Wewe huwa unafanyaga hayo kwa mkeo tuu au demu wake au boy wako?
Jibu kwa ufashaaa
Hebu acheni mambo yenu ya Kizanzibar, huku bara sisi kula denda ni jambo la kawaida. Samia amekuja bara atakuwa kama sisis tu. Ndio maana tuliwaambia hata kuvaa bikini ruhusini ili mpate watalii. Leo hii hata mashoga wanakuja kuvalishana pete huko Zanzibar na kula denda hadharani. Badilikeni basi.Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Ndo nnachohisiInawezekana mama alimnywesha kama sumu basi wadondoke wote [emoji16]
Unayo unakamatwa na kuchukuliwa sikuhizi migration wameshazoea kila siku wanakamata watu kama unayo au huna. Ukiwa nayo ni afadhali kulikokuwa huna.Kwa hiyo tunaingia mchumbiji/ Msumbiji bila passport
Hii nimeielewaInawezekana mama alimnywesha kama sumu basi wadondoke wote [emoji16]
Hamna lo lote huyo wine imelegeza maungo yote hivyo anamuweka Nyusi majaribuni!Ndo nnachohisi
Kaipiga Kiintelijinsia sana
Ama anamrusha roho Faza?😅
Kwani mstaafu ni my wAke?Mwache ale mvinyo weekend hii
Kwahiyo huyu nyusi tumwiteje? Emeji ama[emoji16]
Kuna mstaafu lzm anune
Punguza wivu bwasheeSalaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Wewe uwe unatulia usiwe Kama Bavicha , mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na msaidizi wake aliyekuwa hapo mbele hatua chache, Hivyo siyo kweli kuwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, Angalia hata namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea kwa uharaka na kuinywa Ile aliyopewa na msaidizi wake, muwe mnachangia baada ya kuwa na uhakika wa kile mnachokiona siyo unasoma maoni ya watu na wewe unachangia bila kuelewa kitu
Ipo kwa mbaaliHivi Corona imeisha?
Mume wake! Bahati mbaya hawezi kutoka hadharani kusema kitu, hivyo tumeamua kumsemea!Kuna baya gani hapo.tuache ujinga wakukuza mambo bila sababu.Mtu kua rais haimaanishi hana mambo binafsi kama binadamu.Na ilo tukio wala halihusishi jambo lolote baya zaidi ya kujenga mahusiano tu yakinchi.Hayo mengine mume wake ndiye anayepaswa kuongea naye uko chumbani sio wewe kwasababu sidhani kama kuna mtanzania anayehusika au mwenye mamlaka na mambo ya ndani ya rais zaidi ya yeye mwenyewe.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nimeyasema hayo maana walikuwa wanapotosha na kusema uongo kuwa mh Rais wetu mpendwa alitumia glasi aliyotumia mwenyeji wake, ndio nikaeleza vizuri kabisa kuwa mh Rais wetu alibadilishiwa glasi na kuipokea kikomandoo ambapo usipo kuwa makini hata wewe unaweza usione
Kwani festi ledi wa Nyoso hajarusha makonde?Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Angalieni logic hapo, japo ki utamaduni labda alikosea. Lakini ilibidi na yeye anywe ili kiusalama iwe okay maana kama wamekunywa wote incase litatokea jambo basi asijesingiziwa yeye kampa juice ndiyo mtuhumiwa. Na vilevile kama alipewa ki aina ambayo anahisi ilikuwa siyo salama basi hiyo technic ni ku verify kuwa iko salama...Tuwe positive jamani...Kila siku kumsema vibaya President atakosa nguvu ya kuendelea.Uko sahihi kabisa. Ilikuwa issue ya ku cross check usalama wake.