Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

Midomo kamwe haijaribu uchumi wa nchi bali nafisadi na wafuja mali za umma kama wewe.
 
Midomo kamwe haijaribu uchumi wa nchi bali nafisadi na wafuja mali za umma kama wewe.
Mnaochochea vurugu na kuhimiza Utengano mnatakiwa kushughulikiwa.

Samia Wala asiogope away harass Hadi akili zikae sawa,Jiwe alichemka Kwa sababu aliharibu uwekezaji na Biashara ila ange deal na Wanasiasa wapuuzi Wala hakuna shida ingetokea.
 
We jamaa usitake kudanganya watu.

Jpm mbona ali deal nao sana wanasiasa je uchumi umefika wapi?
 
Wewe unajulikana ni wakala wa waarabu, nyie ndio hao hao wa kwanza kumruka pindi akiharibu.
 
Mnaochochea vurugu na kuhimiza Utengano mnatakiwa kushughulikiwa.

Samia Wala asiogope away harass Hadi akili zikae sawa,Jiwe alichemka Kwa sababu aliharibu uwekezaji na Biashara ila ange deal na Wanasiasa wapuuzi Wala hakuna shida ingetokea.
Unataka kusema Magufuli haku - deal na wapinzani? ndio maana nasema wewe ni wakala tu hujui ulisemalo.
 
We jamaa usitake kudanganya watu.

Jpm mbona ali deal nao sana wanasiasa je uchumi umefika wapi?
Alipora pesa za wafanyabiashara

Alileta upuuzi wa kufuatia pesa za watu ,yaani Ukiwa na kahela kadogo Wana ceace pesa zako

Aliteka na ku harass wafanyabiashara eg Mo,na wenzake

Alikuwa anatumia TRA kuwabambikizia watu Kodi za kijinga

Alikimbiza wawekezaji,kipindi Cha Jiwe hakuna hata biashara za maana Wala viwanda vilianziahwa Tanzania

Jiwe ndie aliharibu soko la mazao yote ya wakulima bei ziliporomoka kuanzia mahindi hadi mbaazi.

Ni Jiwe aliyesababisha soko la nyumba kuhatmribika viwanja viliporomoka bei,majengo makubwa yakasimama ujenzi,NHC ilikuwa inajifia nk

Ni Jiwe ndie alileta upuuzi wa force account ambapo hakuna kazi za maana zilikuwa zinafanywa na wakandarasi wa ndani matokeo yake umaskini ukatapakaa

Ni Jiwe ndie alisababiaha mabenk mengi ya kati kufa na makubwa faida kushuka sana na mikopo isiyolipika kuongezeka

Ni Jiwe ndie alipelekea Kila mtaa ukipita utakuta nyumba inatangazwa.kupigwa mnada na banks ila Wanunuzi hawapo.

Ni Jiwe ndie alikuwa na migogoro na Majirani Kila upande kuanzia Kenya Hadi Rwanda na Zambia.

Kiufupi Jiwe aliharibu Kila kitu kuanzia biashara, uchumi Hadi siasa ndioa mana watu wa hivyo hawawezi Kudumu.

Hawa ndio wajamaa naowasemea ni wahenzi na wasiotakiwa kwenye jamii
 
Akija Rais Mwingine hata Samia utaanza kumtukana kama unavyomtukana Hayati JPM

Nyie maccm hamna jema tunawajua na akili zenu.
 
Unataka kusema Magufuli haku - deal na wapinzani? ndio maana nasema wewe ni wakala tu hujui ulisemalo.
Magufuli Ali deal nao ila aligusa hata kusikotakiwa yaani kwenye biashara na Uchumi hapo ndio aliharibu..

Madikteta wenzie hawafanyi huo ujinga maana watu Wakiwa maskini matajiri Wakiwa hamna pesa Hali ya maisha inakuwa mbaya unajikuta unakuwa na maadui wengi.

Wewe Kwa akili Yako unadhani Samia ana maadui kwenye wafanyabiashara? Samia maadui wake ni Wanasiasa
 
Akija Rais Mwingine hata Samia utaanza kumtukana kama unavyomtukana Hayati JPM

Nyie maccm hamna jema tunawajua na akili zenu.
Akija huyo Rais akawa mjamaa kama Jiwe nitanyoka nae kama nikivyonyoka na Jiwe ,tafuta comments zangu humu wakati Jiwe akiwa Rais.

Lakini Rais akiwa na sera za kiliberali wala Sina shida tunataka pesa uwepo mtaani na Udhibiti wa wizi lakini pia wafanyabiashara wasipande vichwani mwa viongozi
 
ID yako ya zamani?
 
Magufuli alifanya madudu mengi lkn hakuuza ardhi kwa wageni hata mita moja, pesa ni makaratasi hutafutwa lkn huwezi kutafuta bandari ukaipata.
 
Rais Samia kwa sasa ana options mbili
1. Afute mkataba mambo yarejee kawaida
2. Alazimishe Mkataba uanze kufanya kazi aharibu sifa ya uongozi wake.
 
Chawa hamna pa kupumulia, na hii ndio agenda iliyowakalia vibaya hata 2025 kama hamtaamua kurekebisha mmekwenda na maji!
 
Chawa si mtu, ni kupe, anakula na kuishi kwa kujipendekwza
 
Kama anawapa kila wanachotaka watakuwaje maadui zake, bandari chukua, madini chota watakupenda tuu….

Rais Samia kwa sasa ana options mbili
1. Afute mkataba mambo yarejee kawaida
2. Alazimishe Mkataba uanze kufanya kazi aharibu sifa ya uongozi wake.
Ishu ya bandari asipoi-handle vizuri atakwenda nayo kaburini.
 
Mama Samia hajakataza kupinga kwa hoja. Serikali haijakataa kupingwa kwa hoja. Kinachokatazwa ni kutukana na binafsi wanaotukana washughulikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…