Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Kwa kweli mama lugha ya malkia ilimuacha mbali sana. Kwa hali hii ni vema akawa anafanya mahojiano ya kiswahili tu na hata akihojowa na mtu wa nje atafute mkalimani aweze kuelezea hoja zake!

Alitumia lugha ya kijerumani kutetea phd yake
 
Mpeni break mama mkwe wangu jamani.
 
Kusoma advanced math siyo sababu ya kuongea broken English. Kuelewa math kunahitaji English proficiency pia.
Kama ni hivyo combination za Masomo ya Art wangelikuwa wenye uelewa mkubwa katika Hisabati (form 3-4).
Kufahamu Kiingereza ni tabia /mazoea ya kuongea /kusoma /kuandika /kusikiliza n. k
Hivyo yatupasa wale wenye weledi mbalimbali kuendelea kujifunza na kufundisha wengine ili kupata vitu vipya na kuepuka kuonekana hatujui chochote wala kutaka kujua chochote kwa wenye uelewa mdogo wanaojua Kiingereza kwa ufasaha.
 
Huyu amesoma CanadΓ‘ Mkuu master na phd,sema ndio hivyo
 
View attachment 2046608

Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Hata kama ana kigugumizi lakini hii flow yake ni kama QT student. Wale wakiokosa fursa ya elimu sasa wanajiendeleza kwa Rasi simba.
 
The man was very bright . ...there's a fluency
Man was
 
Ni hali ya kawaida. Humtokea yeyote. KNY: Kitengo cha Mawasiliano
 
Kwa hiyo alifundisha wanachuo kwa kiswahili na kutekeleza majukumu kwa kingereza ndiyo maana tuna wasomi wa ajabuajabu.
 
Hata kama ana kigugumizi lakini hii flow yake ni kama QT student. Wale wakiokosa fursa ya elimu sasa wanajiendeleza kwa Rasi simba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Nchi. So mi nazungumzia nchi au Nazungumzia Tanzani? Mkuu vipi?

Mi naongelea mazingira yetu apa Tanzania. Thesis sinilazima adefend infront of panelists?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…