Dogo Tundu
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 448
- 189
View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Bonus [emoji1787][emoji1787]
Ni bahati mbaya wanaotetea kutokujua kingereza siyo hoja ya msingi na kwamba hata wachina hawaongei kingereza, mimi nasema hivyo tukitaka kuachana na kingezera basi tuachane na kila kitu cha mzungu.
Huwezi kusoma darasa la kwanza mpaka form six then chuo kwa kutumia hicho kingereza halafu unasema kingereza hakima maana yeyote!