Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

Nimesikia tu kwamba, "You're going to stay inside until you give instructions to your people to............." She speaks English with strong vernacular accent.

I think the reason that English is her third language has a bearing on the way she can express herself in that language and this is a challenge facing majority of Tanzanians and hers is just a tip of an iceberg.
Lakini yeye ni waziri wa elimu ujue.
 
Hapa naweza nikawa nabishana na ngumbaru aisee ungekuwa umesoma linguistic ungenielewa vizuri kabisa au kama ulibahatika kufika chuo na ukasoma communication skills basi unatakuwa unajua kwamba unaweza ukawa muandishi mzuri kwenye lugha fulani lakini ukawa si mzungumzaji mahiri wa lugha hiyo, language skills inamambo mengi sana kijana nenda shule kwanza.
Kweli kabisa kaka upo sahihi.... Lugha ina skills nne speaking, reading, writing na listening sasa mtu anaweza kuwa mahiri kwenye reading speaking akawa slow
 
Kweli kabisa kaka upo sahihi.... Lugha ina skills nne speaking, reading, writing na listening sasa mtu anaweza kuwa mahiri kwenye reading speaking akawa slow
Kumbuka unaongelea profesa mwenye PhD lakini pia ni waziri wa elimu.
 
Kaisiliba kinyesi wizara ni heri angeongea tu Kiswahili lakini sio kwa broken zile na zile eeh.. Eeh, eeh zilizokaribia 60
Hahaha….kweli lakini, sasa matokeo yake ni kama haya..
B6855CCD-52F4-4C6C-A845-DACB013169EB.jpeg
 
View attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?

Bonus 🤣🤣
Mmemsagia kunguni mpaka muha wa kike kapigwa chini!!
Binadamu siyo watu.
 
Ona hapa Hayati Magufuli enzi za uhai wake nae alikua ni miongoni mwa PHd zilizokua mahututi mbele ya english....

Sikiliza utumbo huu:

"We have approximately thirty ferries and the one which is working is more than twenty nine..." hesabu hiyo umeielewa?

Angalia kuanzia dakika 1:20 link

🤣🤣🤣🤣 uzed to dai in ze in ze rek.
 
Mimi nikiri kabisa kuwa hakuna waziri ninaemchukia kama huyu mama. Sina chuki personal ila nauchukia mfumo wa elimu Tanzania na naona kabisa kikwazo cha kwanza ni huyu waziri.

Yani huyu ni zero brain kabisa ilifaa awe anavua migebuka ziwani huko.
Unalako jambo si bure
 
Wenye kingereza chao wanawashangaa mnavyopapațkia lugha yao, pendeni chakwenu, kwani làzima kujua kiingereza ndio upate phd, ?
 
Back
Top Bottom