n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Product za CCM hizo. Na bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisoma ukaelewa wala huto kuja na hoja kama hii,kasome linguistic uelewe ninacho maanisha, hata kama thesis aliandika kwa kingereza hiyo haimaanishi atakuwa na ustad wa kuongea kingereza labda kama alisoma lugha ya kingereza.Thesis yake aliandika kwa lugha gani? KIRUNDI?
Na huo ndio ujinga wa waafrica wengi, mzungu akiongea kiswahili kichafu anapongezwa lakini mswahili akiongea kingereza kichafu anazomewa .ni kawaida tu mbona !! mbona wazungu wanao jifunza kiswahil huwa wanaongea swahili mbaya mbaya ....
Na hichi chuo hawaingii wajingawajinga, mwenyewe natafuta chance yakwenda hapo nakosa.Seriously? It is questionable!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Debates?Ahahahaaaa kama tuko kwenye education is better than money vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]You are going to stay inside.
Na kuna sehemu anasema we will put you on the cell[emoji23][emoji23]
Na hichi chuo hawaingii wajingawajinga, mwenyewe natafuta chance yakwenda hapo nakosa.
Mimi natafuta kuingia hapo, sio rahisi kama unavyodhani labda kama unajilipia ada mwenyewe lakini kwa scholarship it's not easy.Utakuwa mjinga mjinga kama unashindwa kuingia kwenye hicho chuo!!!
Mimi natafuta kuingia hapo, sio rahisi kama unavyodhani labda kama unajilipia ada mwenyewe lakini kwa scholarship it's not easy.
Absolutely... huyu mama ni majanga sana kwenye wizara nyeti kama elimuView attachment 2046608
Msikilize hapa. She is purely not fluent in speaking English. Inatia uchungu kuona Waziri wa Elimu anaongea English ya hovyo namna hii. Najiuliza Jopo la Maprofesa waliwezaje kumuelewa wakati anawasilisha tafiti zake?
Bonus [emoji1787][emoji1787]
Hacha kujichanganya akuna mzungu alisoma kiswahili nakufanyia research...Na huo ndio ujinga wa waafrica wengi, mzungu akiongea kiswahili kichafu anapongezwa lakini mswahili akiongea kingereza kichafu anazomewa .
Eti baby coca najua wewe ni wa school bus tusaidie hapo kapatia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You sei my zesisi. I am know how to write English aagh aagh in paper ze englishi of spikingi aagh aagh.Uyu si ni Profesa au? Thesis ilikuaje?
usimtetee, huyu ni Phd holder aliyesoma ughaibuni. how comes anashindwa kuzungumza kingereza kwa ufasaha.Anachokisema ukimskliza kina mantiki na ameongea kingereza sahihi, sema lafudhi ndio tofauti na hiyo ni kawaida.
usimtetee, huyu ni Phd holder aliyesoma ughaibuni. how comes anashindwa kuzungumza kingereza kwa ufasaha.
something isn't OK for her. nina mashaka na elimu yake. halafu mimi hizi Phd za wanasiasa huwa siziamini, nyingi ni za mchongo. sijui huko kwenu kenya hali ipoje?...tupe tathimini.