Unayemzungumzia hakupatia Ph.D yake Tanzania. Ameipatia Chuo Kikuu cha Alberta, Canada. Kabla ya hapo alikuwa anafundisha UDSM.
Hapana, kwa wenzetu doctoral thesis huwa haitetewi mbele ya panel bali inatetewa mbele ya mtaalam wa fani husika anayeitwa external examiner. Kabla ya mwanafunzi kuruhusiwa kuitetea, external examiner anakuwa ameishaipitia kujiridhisha kuwa imefikia kiwango kinachotakiwa.
External examiner haangalii fluency katika matumizi ya lugha bali contents za thesis iliyombele yake na uthibitisho kuwa anayeitetea kweli ameiandika. Uthibitisho huu unatokana na anavyojibu maswali na uelewa wake wa kilichoandikwa. Lahfudh haihusikani katika hilo.
Amandla...