Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Mkuu, Kwani hiyo ndege waliivuta Kwa masaa mangapi? Nadhani Kwa ushauri wako huu, idadi ya vifo ingeongezeka zaidi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapa anataka kutuonyesha kwamba anajari sana au??sie tunataka majibu kwa nini watu wafe kizembe vile,idara za uokoaji na jwtz walikuwa wapi?,inawezekana vipi,hata jwatz hawana vifaa vya kuokoa watu kwenye ajari ndogo kama hii?
Hii nchi haipo salama kabisa,unaweza ukaivsmia na kuipiga vibaya,taasisi za ulinzi zipo bize kulinda wasenge wa ccm
 
Mbona hii ipo airwing Dar?
 

Attachments

  • FB_IMG_1667812170202.jpg
    14.6 KB · Views: 3
Hongera sana mama mh Rais.hakika umetenda yalio mema mungu akusaidie.hii itawapa mori na ari .vijana tunasema ulipo tupo
 
Sasa inasaidia nini kama hakuna vifaaa vizurii vya uokoaji kunafaida gani kamishna Andengenye aliweka proposal nzuri sana ya ununuzi wa vifaa bora na vya kisasa vya uwokozii ila lile jiwe maji alimnanga na kuona hana maana
 
Nyie watu wajinga mno, taarifa zilichelewa kufika kwa serikali, au ulitaka waote? Wavuvi ndio walikua karibu na ndio maana walikua wa kwanza kusaidia
Ilidondoka 100m kutoka kwenye runway.. ofisi za Jeshi la uokoaji zipo 200m kutoka ndege ilipodondoka...
 
Kumbe hiyo milango ya dharura ufunguliwa kwa nje pia! Sikuwahi kuona kwenye demonstration! Aliufunguaje?
Mlango ulifinguliwa ila ilihitajika mtu wa kupush nje maana walioko ndani hawakuwa sawia kuupush kwa nje.
 
Kuna uwezekano wa kwenda kuua kabisa uwezo wake! Hao wenye mafunzo na uzoefu hawajatokea, unafikiri nini kitampata huyo jamaa. Ni bora aendelee na uvuvi.
Unafikiri anapenda kuwa mvuvi ?Kumtumikia tajiri ? Bora akaajiriwe huko serikalini nae kwa pesa aliyopewa anaweza pia kununua mitumbwi na kuajiri wavuvi. Au kufanya mwenyewe siku zake za off kazini.
 
Wabongo tayari akiri zetu finyu sana yani ndio tulishapozwa hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie hamjui labda.sisi tunaozamia kwwnye maji tunaelewa sacrifice aliyotoa kijana.kwanza aliwez kutunza hewa na kuiingia deep pale almost 15mt na acha kabisa kama huelew mambo ya maji msiongee
 
Hata bila kufungua mlango maji yalishaanza kuingia kwa chini. Mpaka ivutwe si wangekufa wote jamani.
 
Sifa pekee haziweki ugali mezani.

Hayo maisha ya mshahara hajayazoea.

Keshazoea kujikimu kwa kufanya uvuvi.

Wangemboreshea hali waliyomkuta nayo.

Huko wanakompeleka anakwenda kuanza moja.
Uchawi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…