The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Unajichosha bure, hakuna Mungu mwenye mawazo ya kijinga kama yako na Mungu sio JohnTumuombe Mungu tusirudi kule tulikotoka nampigia Simu mkuu ataamuru niachiwe,Nakwenda kwa Baba atakupatia Akira au connection,cement ya kujengea daraja MFUKO mmoja laki mbili,watoto wa wakuu kutibiwa na kusoma nje ya nchi wanapata Elimu kwa kizungu na kuwafanya wafikirie mambo kwa kizungu.
Upendeleo,ubaguzi,ufisafi na udhalimu vishindwe kwa uwezo wa Mungu.
Wewe unafaidika na nini kwa kumchukia na kumpinga Samia?
Kwani yana ubaya gani? Mnashangazwa wewe na nani?Nani anampinga…tunashangazwa na kauli zake…na wewe uko busy kunegate km kweli yaliosemwa ni mazuri
Utakuwa mmoja wa mijizi inayotofautisha viwango wewe!Non sense
Mungu huwa halipi maombi bali hulipa jitihada.kilichobaki ni kumlilia muumba wa mbingu na nchi atufanyie wepesi…
Maza ameonyesha kuwa hayuko serious na ulaji wala kwake haoni kuwa ni tatizo kubwa. Kwa mawazo yake ni kuwa watu wanaweza kula kiasi bila kuathiri chochote. I am very disappointed with her .....!!Nimesikiliza mara kadhaa alichosema siamini nilichosikia! Ule ni uhamasishaji wa rushwa wa kutisha! Kwamba wale kidogo wasivimbiwe! Mbele ya National Television!
CCM haipiti miaka miwili mtapita magumu kiutawala ambayo hamjawahi kupitia toka chama hiki kianzishwe! Tunajua awamu zote kuna wizi/ufisadi ila si kwa kiongozi mkuu kutamka maneno ya namna hii. Shame!
Wafu hawaamki tena milele. Safari ya dunia haijirudii.ha ha ha ha ha ha nimecheka sana jiwe akiamka leo ataua mtu
Lakini kuna kaukweli, hasa ukiangalia jinsi alivyoliweka.Maza ameonyesha kuwa hayuko serious na ulaji wala kwake haoni kuwa ni tatizo kubwa. Kwa mawazo yake ni kuwa watu wanaweza kula kiasi bila kuathiri chochote. I am very disappointed with her .....!!
Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu sawa na UPUMBAVU wake usije kuwa sawa naye.Wewe msenge nimekwambia leta list hapa achana na msenge wako! Huma hata ushahidi unapuyanga tu! Pumbavu zako! Hao umewataja wote ni marehemu? Hao madiwani wakiuliwa kwa matendo yao unamsingizia Magufuli? Hata huyo Azori Gwanda unaushahidi gani?
Mwambieni huyo mzoga wenu anayeoza Chato, alipokuwa anaamuru Lissu auawe yeye alidhani ataishi milele.Hivi kufa ni ajabu? Huyo Lisu unajua maumivu wanayopitia? Bado atakuwa na maumivu mpaka kufa na bado ataoza vile vile! Wapumbavu ndo hufikiri kuishi ni faida! Hujui kuwa kufa ni faida zaidi!!?
Mama naafungua uchumiRais akiwahutubia Mwaziri na makatibu wakuu,, amasema anajua kila mtu anakula na atakula kwa urefu wa kamba yake lakini kwa sasa waanzidi hadi awanagombana. Je, hii si ndiyo maana ya Rais kuruhusu upigaji ila uwe wa kiistarabu?
Duh! Na akina sisi tusio na kamba je?Mbuzi mwenye kakamba kadogo anakula majani mpaka hapa, mwezi kamba ndefu kidogo anakula mpaka paleee, mwenye likamba lireefuu anakula mpaka kuleeee!!!
Wewe mwenyewe mzoga mtarajiwa! Na ni taahira tu mzoga unakuhusu nini?Mwambieni huyo mzoga wenu anayeoza Chato, alipokuwa anaamuru Lissu auawe yeye alidhani ataishi milele.
Ndiyo kisa aliiba kura zote za Oktoba 2020