Kwa sasa hivi SSH ana- 'grapple' na 'government coordination'.. Wengi wa Mawaziri wake wanakosa ubunifu hivyo kufanya 'vision' za SSH kutekelezwa kwa mwendo wa kobe au ndivyo sivyo..
Hapa ndipo ilipotakiwa 'robust opposition' kuwaamsha..
Pia asisahau bado mawazo ya baadhi ya Mawaziri wake yapo katika uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo bado atapambana nao sana..
Ndiyo maana yake, anataka wasile sana ila wale kiasi, yaani eti wajipimie!Dah! Kumbe upigaji hauwezi kukoma hata kidogo kwa nchi yetu! Yaani hapa mama anajua upigaji upo lakini kwa sauti yake ya upole anataka usipite kiasi.
Vipi unabaki kuwa Mdudu nyuki wa mama, au unakua Mbuzi ama kupe .Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT🙏
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Kwani yana ubaya gani? Mnashangazwa wewe na nani?
Tatizo katiba. Na CCMHuyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Eeeeh! Ila mental health ni muhimu Sana kufundishwa kwenye jamii! Muone huyu mtu@lost . Panic disorder kafundwe mkoleni we dadaKamle kichwa mama yako fala wewe, unamtisha nani kenge mkubwa wewe.
😀😀 Rais kasema nyie mafisadi mjipime na kawakemea sijui hamuelewi niniYanahalalisha wizi ya pesa za walipa kodi…watanzania wote tunashangazwa kasoro mafisadi wachache
Mods rudisheni ile clip hapa....watu wametumia bando lao kuipandisha alafu mnaifuta, bure kabisa nyie! Uhuru wa kutoa maoni na kupata habari huko wapi sasa??!
cc: binbaraghash msaada wako mkuu....nitumie hata pm ile clip ya mawaziri kula kwa kwa urefu wa kamba zao hadi wakavimbiwa!
HiLI Limama ni li kichaa kabisa, unahalalisha rushwa kweli,Daa itachukua muda kumpata Magufuli mwingine watu wakipinga matendo yake inakuwa sukumagangNimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
View attachment 2079590
Natanguliza shukurani
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
Natanguliza shukurani
daah nashukuru Allah kanizuia.kuna bonge la tusi lilitaka kutoka juu yako. jk huyu aliye asisi ufisadi!Yupi alikuwa na vission. Labda jk!!!
Ajira je. Aliajiri mpaka kila mtu akawa anafurahia kusoma siyo kipindi jpm kusoma ilikuwa anasadaah nashukuru Allah kanizuia.kuna bonge la tusi lilitaka kutoka juu yako. jk huyu aliye asisi ufisadi!