Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......

Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....

Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......

Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......

#Siempre JMT🙏
Acha kuweka tafsiri yako mzee, sote tunajua kiswahili na maneno yake yako wazi kabisa. uzuri ni kuwa video zipo. mama amehalalisha kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ila asivimbiwe ingawa hakuweka kipimo cha kuvimbiwa!
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Yupi alikuwa na vission. Labda jk!!!
 
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?

Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya

View attachment 2079590

Natanguliza shukurani
Aisee
 
Mawaziri kwa mishahara na hela zingine wanazolipwa kwa kazi zao zingewatosha kuishi maisha mazuri tuu. Tatizo wengi wanataka kutajirika na familia zao hapo ndipo ufisadi unapokuja. Waziri akitaka aishi kama CEO wa Goldman Sachs au CEO wa Coca Cola au CEO wa Vodacom lazima afanye ufisadi. Hakuna njia nyingine. Mshahara na marupurupu anayolipwa na serikali kamwe hazitomfikisha kiwango hicho.
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Ni kauli za kijanga sana na sijawahi kufikiri upumbafu kama huu??? Kwa hiyo amehararisha watu wapige wanavyotaka? Bogus kabisa
 
Back
Top Bottom