Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT🙏
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
View attachment 2079590
Natanguliza shukurani
Hivi nacho kisikia toka kwa Mheshimiwa Rais wetu nasikia sawasawa au sijamsikia Rais vizuri? Anasema anajua kuwa watu wanakula ktk maeneo yao, ila wamezidisha mpaka wanavimbiwa. Hivi hawa hawalipwi mishahara na Serikali kwahiyo inabidi wale kutokana na upana wa sector zao ila wasivimbiwe. Mheshimiwa Rais ana maana gani?Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
View attachment 2079590
Natanguliza shukurani
Hapo aliposema kuwa 'wajipimie' nimecheka sana halafu ghafla machozi yakanitoka.Bado siamini nilichosikia
🤡🤡🤡Upotoshaji KAZI KWELIKWELI......
Mama ameongea mengi akitaja MUHALI.....
Ile hali ya kutoambiana ukweli kwa KUOGOPANA NA KUHOFIANA kutoudhiana.......
Amefuatilizia na kukanyana kuhusu ile tabia ya BAADHI YA MAWAZIRI/NAIBU MAWAZIRI kwenda "kuchomeana" kwake.....hapa ndipo KILA MTU ALE UREFU WA KAMBA YAKE na si vingi nevyo......
#Siempre JMT🙏
Kazi na bata,wewe ulitaka ule kwa kutumia kamba ya nani?Kazi iendelee yq kula kwa urefu wa kamba yako
Bila kuongea hivyo ungejua kuwa watu wanavimbiwa? Vipi huko awamu ya 5 walikuwa hawali? 😃😃😃😃CCM ni ile ile ooo ni ile ileeee .kauli ya hovyo kutolewa na kiongozi wa nchi tangu uhuru. Huyu bi kidude anajificha kwenye hasira zetu ila ni wa hovyo kuliko hata awamu ya nne . KUmbe huko wanakula nchi huku wanatubambika Ma tozo .unajua siamini kama ndo Huyu wa awamu ya tano
Rais ni mama yako mkuuHAPA hakuna raisi aisee
Nani kasema kuwa waende kula? Acha kupotosha,na kama ni kula,waende kula nini?Acha uchawa wako , hiyo clip iko very clear hiyo tafsisri yako ni ya kichachawa! Samia anawaambia waende kula lakini wasivimbiwe , sasa huko sio kuhalalisha upigaji?
Hawa watu wake nao wanafuata nyendo za yeye mama, anapowateua wakina RIDHWANI kutokana na ukaribu wake na baba yake na kuwaacha wenye uwezo kuliko yeye anadhani hao mawaziri nao hawawezi kufanya hivyo yeye anavyofanya? Kiongozi anatakiwa aoneshe mfano.
Magufuli alipiga marufuku watendaji kufanya safari za nje kiholela na yeye akaonesha Mfano wa kutokuwa mzururaji!! Kikwete alikuwa mtu wa kwenda kubembea na watendaji wake nao wakawa wanapishana Airport nao wakifuata nyayo zake!!! Utakalofanya wewe Samia ndio wafuasi Wako watafanya pia!! Badala ya kupiga mayowe unatakiwa uongoze kwa kuonesha Mfano. Unatakiwa uwe RAIS wa vitendo na Maneno machache! " UKUBWA WA PUA SIO WINGI WA MAKAMASI."
Umeliwa peke yako.Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Nani kasema kuwa waende kula? Acha kupotosha,na kama ni kula,waende kula nini?
Kama kuna huo ulaji na wewe jiunge ule.
Halafu amesisitiza kuwa wajipimie kiasi cha kushiba ila mradi wasivimbiwe😁😁😁Karuhusu mawaziri wale kulingana na urefu wa kamba zao/uwezo na nafasi zao.---- hiyo ni kauli mbaya sana kama Rais. 😨 pathetic.
Kwanza ukisikiliza hiyo Crip ina shida gani? Mbona Rais anawaasa mawaziri kuacha wizi? Tena anawaambia waache urafi na katoa mifano .Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Nimesikia vizuri tuu,shida iko wapi hasa? Rais si anawaasa mawaziri Kuhusu wizi au?Umewekewa clip usikie lakini umeziba masikini yako na nta hata husikii ; sasi sijui tukusaidieje? Jiunge wewe chawa nawewe ukale!
Mungu huyu mwache aitwe Mungu. Kuleni kwa urefu wa kamba au kukeni kwa kukata kamba Mungu atawafurahisha. Yani dhiki na umasikini unavyolitssa hili taifa kweli... Mzee Mangula na wazee wa ccm mnaona?Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Emu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo mpya mpya
View attachment 2079590
Natanguliza shukurani