Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

Acha kuweka tafsiri yako mzee, sote tunajua kiswahili na maneno yake yako wazi kabisa. uzuri ni kuwa video zipo. mama amehalalisha kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake ila asivimbiwe ingawa hakuweka kipimo cha kuvimbiwa!
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Yupi alikuwa na vission. Labda jk!!!
 
Aisee
 
Mawaziri kwa mishahara na hela zingine wanazolipwa kwa kazi zao zingewatosha kuishi maisha mazuri tuu. Tatizo wengi wanataka kutajirika na familia zao hapo ndipo ufisadi unapokuja. Waziri akitaka aishi kama CEO wa Goldman Sachs au CEO wa Coca Cola au CEO wa Vodacom lazima afanye ufisadi. Hakuna njia nyingine. Mshahara na marupurupu anayolipwa na serikali kamwe hazitomfikisha kiwango hicho.
 
Huyu mama bure kabisa, sijawahi ona kiongozi wa nchi hopeless like her. Yaani hapa bongo kama nchi imelamba garasa!! wakina Kagame na Museveni wanatucheka balaa toka kupoteza kiongozi mwenye vision hadi kuja kuokoteza hili garasa,.tumeliwa.
Ni kauli za kijanga sana na sijawahi kufikiri upumbafu kama huu??? Kwa hiyo amehararisha watu wapige wanavyotaka? Bogus kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…