Rais Samia kuendelea kumshikilia 'yule mtu' ni janga zaidi

Kifupi anahitajika Traore au taasisi inayolinda mipaka iamue vinginevyo !isimamie mfumo mpya uundwe Ili ajaye asiharibu!!

Wenye maslahi ndani ya chama na serikali hawataki mfumo mpya uundwe!!
Na kituko ni kuendelea kuamini waliopo watabadilisha mambo
 
Jana nilikutana na gari aina Toyota vitz nyuma inapicha ya mama kavaa ushungi halafu ina maandishi yanasomeka "mitano tena Kwa mama" Nilitamani kuigonga ile gari then nipotee maeneo Yale.
 
Naunga mkono hoja
Hata Mkuu Mtibeli na Mzee Mwanakijiji pia walishauri Naunga mkono hoja
Hii hoja pia imeletwa humu na Mkuu Mzee Mwanakijiji

P
 
Kwani kuna chochote umeandika?
 
Isisitizwe hivi

mama wewe sio malaika, tujisahihishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…