Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

Changamoto kwelikweli 😊😊😊tunajenga nchi yetu hakuna jinsi.
 
Jamani kwani mialiko yote lazima uende? Mbona sijasikia rais wa Botswana anaalikwa? Sisi hela yetu ya kukopa na bado tunatumia vibaya
 
Nadhani kadi ya watu kuondoka Ngorongoro itaongezeka
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Hivi safari hizo za kualikwa nani analipia garama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…