ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hata mimi najitahidi kutafuta uhalisia mikataba inayosainiwa na kazi inayofanyika yyte anayejua atusaidie jameni tueleweTokea ameanza kusaini hiyo mikataba hakuna la maana lililofanyika mpaka sasa.
Point yako ipo on point . Sijui mama washauri wake hawalioni hili!!Kufanya ziara uarabuni wakatai huu wa purukushani za Ngorongoro siyo wazo zuri, kama mh rais ni mtu reasonable asingefanya hiyo ziara kwa sababu by all means watu wataunganisha dots!
Hili suala yeye hata kulizungumzia halizungumzii kakaa kimya na ndio maana pia hajaona tatizo la kuondoka nchini kipindi hiki.Kufanya ziara uarabuni wakatai huu wa purukushani za Ngorongoro siyo wazo zuri,
kama mh rais ni mtu
reasonable asingefanya hiyo
ziara kwa sababu by all means
watu wataunganisha dots!
Issue serious sana hiyo. Bunge limezungumza walau na raisi angeliongelea kutoa directionHili suala yeye hata kulizungumzia halizungumzii kakaa kimya na ndio maana pia hajaona tatizo la kuondoka nchini kipindi hiki.
Sio hasara bali ni janga kubwa. Mungu atunusuruYeye tu wakuswampa kwa watu kila uchwao. Tumepata hasara sana.
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu sio mjomba wako,endelea kumtaja kwenye mambo ya kipuuzi utapata unachokitafuta maana huwa mnajitia hamnazo.
Kwani hata wangetaka kutua bila mkataba tungewazuia kwa serikali hii?? Wao wanajua fika sie hatuwezi kutua kwao. Yaani mambo yanayofanyika sasa nchi sio ya kunufaisha tanzania ila ya kurahisishia mabeberu ubebaji wa rasilimali zetu.Ingekuwa ni hasara,matunda haya yasingepatikana [emoji116]
Tulioomba kutua ni sisi kwa sababu hatuna sifa za kutua huko kwa hiyo ikalazimu mkataba maalumu kama preferential fulani..Kwani hata wangetaka kutua bila mkataba tungewazuia kwa serikali hii?? Wao wanajua fika sie hatuwezi kutua kwao. Yaani mambo yanayofanyika sasa nchi sio ya kunufaisha tanzania ila ya kurahisishia mabeberu ubebaji wa rasilimali zetu.
HahahahahhahahahahaWamasai Jiandaeni kukimbia,
Apa anaenda kuwaitia Taliban
Hahaa, utakuwa mjaluo ww!!!Humu kuna watu leo wanamkataa hahahaha
MA ccm yote yaliyokufa na yaliyo hai ni baba moya mama moya.